Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
CCM wapo so full of themselves... Inauma kuwa hawana busara kabisa na kutaka kuonesha kwa ubabe dhidi ya vyama vingine hasa CDM inawafanya wakose upeo wa kufikiria kuwa wananchi tunaona yote na yanatuumiza. Inakuwa kama wanachukulia Watanzania wote ni wapuuzi na wa kuendeshwa tu.
Nashangaa kwa hii habari, nilipoona habari ya kuhusu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo mh. Amos Makalla kuendelea na shughuli zake za kisiasa katika jimbo lake tena wakati huu huu wa sensa ambapo serkali imetoa agizo shughuli kama hizo zisimame; nilichukulia kama bahati mbaya fulani hivi. Sasa hii ni dhahiri kabisa kuwa makusudi yao!
BTW Hivi vichwa vya habari naona ni wakati wa fani ya uandishi iangaliwe upya, sasa hapo CHADEMA wanaweweseka ama kueleza facts?
That's pure class, sister.