wadau hiyo nmeisikia mbeya siku ya maandamano.nkastuka sasa dk anazeeka nakufikiri kama walivokuwa wanafikiri cuf 2005.
uzee unamkaribia
Nawewe unaamn karatasi zakura zinajifuta?
Sio viongozi wasiowataka bali viongozi mafisadi ambao mzee wa kulialia alisema wazomewe mbona mnawapiga kuwaua au kuwachoma moto wezi wadogo ambao ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira unawafanya wakwapue. Kama vile mnavyosema mnajichukulia sheria mkononi coz ya uwajibikaji mbovu wa polisi na sisi the same sa ka serikali inawabembeleza wezi wakubwa tufanyeje? Piga jabali ya kichwa alaaaukizingatia na alichosema sugu wanacchi wawapge mawe viongoz wasiowataka ni ufinyu wa fikra
ukizingatia na alichosema sugu wanacchi wawapge mawe viongoz wasiowataka ni ufinyu wa fikra
<br />jamani wanajf tumieni busara kuzingati mada iliyoletwa badala ya kupote muda kujibisha na magamba..tushambulie kichwa badala ya ma
mba
wadau hiyo nmeisikia mbeya siku ya maandamano.nkastuka sasa dk anazeeka nakufikiri kama walivokuwa wanafikiri cuf 2005.
Hayo yote hapo juu ni mawazo mgando na upupu! Dr. Slaa hawezi kusema vitu kama hivyo, nina mashaka na hawa member wapya ushabiki unawasumbua sana, papara nyingi sijui huwa wanakimbizwa na nani kwenye keyboard hawaandiki vitu vinavyojitosheleza.
Mwisho wewe tumaini letu unaweza kuwa angamizo letu.
mkutano upo uwanja wa s/tunduma silinde na naviongozi wapo kuongea rwakatale analonga ivisasa anasubiliwa silaa zito nawengine
sasa mkuu kama huko ndiyo kwenu umekosa hata mtu wakumuuliza wa huko Ileje.........jamani chonde naomba kujua kule kwetu ileje wamefika? Mwenye taarifa pls
Hivi mbowe alitaka VAT isiwepo au iwe asilmia ngapi vile?
kama umesikia magazeti leo asbh utagundua sasa dk wetu anaishiwa maneno yakusema si lazima mtu kuongea jaman,midomo hii angalien viongoz wetu sugu kasema et wnananchi wawapige mawe viongozi wasiowataka.lazima tukatae matendo yakukiaminisha chama chetu kuwa cha demokrasia na maandamano ya fujo.nawasilisha