CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

TaiJike sidhani kama kuna designer yeyote wa ndani amekatazwa kudesign Gwanda kwa ajili ya kina Dada, kumbuka kila mtu anataka kuvaa kitu kutokana na uwezo wake kipesa, tofauti ya nguo inakuwa kwenye material ya kitambaa, angalia kwa makini hilo Gwanda la Linda, Dada yeyote anayejiweza kivijisenti angependa Gwanda lenye material hiyo na siyo kama linalovaliwa na wanaume.

Kinachotakiwa ni design tofauti na ya kiume ukisema uimport materials kutika nje haitapendeza kwani tayari tutakuwa tunajenga tabaka la wenye nacho na wasio nacho kwani kila mmoja anpenda kupendeza tatizo litakuwa ni gharama.
 
kumbe KIFO cha nyinyiEM siyo lazma 2015, kwa kasi hii hadi RAHA.
 
Kinachotakiwa ni design tofauti na ya kiume ukisema uimport materials kutika nje haitapendeza kwani tayari tutakuwa tunajenga tabaka la wenye nacho na wasio nacho kwani kila mmoja anpenda kupendeza tatizo litakuwa ni gharama.
Sidhani kama Chadema inahubiri ufukara, sioni tatizo lolote kwa kila mtu kujikuna anapojiweza, matabaka hayawezi kuisha labda raia wote tuanze kuvaa Uniform na show room zote ziwe zinauza Bajaj.
 
Aisee huyo Linda kapendeza sana na hilo GWANDA nitapata wapi outfit kama hiyo kwa ajili ya shemeji yenu??

Matola wasiliana naye haraka afungue retail hapa Tz!
 
Magamba wanafuatilia hii thread roho inawauma kwasababu ile minguo yao na Rangi zao zinafanana na DDT (hii ni sumu kali sana ambayo imepigwa marufuku duniani)
 
NIMEPENDA GWANDA LA LINDA, KWA PEMBENI KUNA BENDELA ZA RANGI YA CHADEMA, Nice cretivity

hata langu naenda kuliwekea hope its will look so good, hata hao jamaa wangeweka ingekuwa poa.

_DSC9526.JPG














[/QUOTE]
 
Angalieni hata laptop wanayotumia ni ya MAC na rangi yake inafanana na Gwanda CDM ni level nyingine wakati wa kusoma budget ya upinzani bungeni wanatumia IPAD huku wenzao wa ccm wanatumia mate kufungulia mikaratasi kwi! kwi! kwi! kwi!
 
NIMEPENDA GWANDA LA LINDA, KWA PEMBENI KUNA BENDELA ZA RANGI YA CHADEMA, Nice cretivity

hata langu naenda kuliwekea hope its will look so good, hata hao jamaa wangeweka ingekuwa poa.

_DSC9526.JPG














[/QUOTE]

Angalieni hata nyuso zao zinaonyesha matumaini lakini za wenzetu CCM utafikiri wanakunywa kloriti(Hii ni dawa ya kimasai ni chungu kuliko nyongo)
 
tupo pamoja wadau



Tawi la CHADEMA Washington DC lazidi kumwaga kadi za uwanachama DMV...!!!


_DSC9521.JPG

Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Kalley Pandukizi akiwa na katibu wachama hicho,Ndugu Libe Mwang'ombe alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer wa kiTanzan Linda Bezuidenhout (LB)

Katika miaka ya nyumba Linda aliwahi kusponsor matukio mbali mbali kwenye miaka ya 1990 wengi wao wakimjua kwa Linda Express Nchini Tanzania ambae ambaye hivisasa anajishughulisha na biashara ya nguo za kiume milanovita.com pamoja na zakike ambazo anadesign mwenyewe kwa brand name ya Linda kutoka Atlanta, Georgia Nchini Marekani.


_DSC9526.JPG

Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe akimkabidhi rasmi mwanacham mkareketwa ambae ni mwana mitindo Linda Bezuidenhout (LB) kati ya uwanachama wa chama cha Demokrasia Chadema katika ofisi ya tawi la Tawi la Chama Washington DC.


_DSC9531.JPG

Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC Mhe. Kalley pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe wakipata picha ya pamoja na Linda Bezuidenhout Atlanta, Georgia na wanachama wa tawi la chadema Washington DC


_DSC9545.JPG

Viongozi wa tawi la chadema Washington DC wakipata Champagne

_DSC9542.JPG

Linda Bezuidenhout (LB) furaha baada ya kuvua kamba kuvaa gwanda na kuchukua kadi kuwa mwanachama kamili wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).


Msikilize kwa makini mwana mitindo mbunifu wa
Linda Bezuidenhout (LB) Aakilonga na Swahilivilla

 
Huyo Linda ni dada yake na Richard yule aliyewahi kushinda BBA, hilo Gwanda amedesign yeye mwenyewe kwa kutumia lebo yake ya LB.
Nataka kuwasiliana naye kama anaweza kuimport hizi Gwanda kwa ajili ya kina Dada kwa bei nafuu.

nipm nikupe mawasiliano yake.
 
nipm nikupe mawasiliano yake.
Niliposema nataka kuwasiliana naye sikuumanisha kwamba sina mawasiliano naye, bali ni tofauti ya masaa saa hizi Marekani wamelala.
Hao wadada wote watatu unaowaona kwenye picha ni marafiki zangu sana.
 
Niliposema nataka kuwasiliana naye sikuumanisha kwamba sina mawasiliano naye, bali ni tofauti ya masaa saa hizi Marekani wamelala.
Hao wadada wote watatu unaowaona kwenye picha ni marafiki zangu sana.

ha haa haa haaa! Yale yale ya Will@ NY City
 
wakati ndio sasa,

  • wa kusema bye,bye CCM
  • wa kuwakataa wezi wa kodi za nchi
  • wa kupinga mafisadi ndani na nje ya nchi
  • wa kuwazomea viongozi wezi
  • wa kuingiza CHADEMA madarakati ili itunuru wananchi kutoka kwenye mikono ya mafisadi

Naunga mkono hoja 100%
 
kweli uyu dada ni designer sijawahi ona nguo ina kibendera pembeni daaaa h i like it aseeeeeee
 
Hizo picha wamepiga wapo kwenye sebule halafu imekuwa gumzo Marekani? Mie naipenda ile picha huyu Mwanamke anacheza kiduku mbona umeitoa.
 
ha haa haa haaa! Yale yale ya Will@ NY City
Ahahahahahahahah!! tupo pamoja one page sauti za Umeme, mate yasikutoke mkuu wangu hao ni rafiki zangu tu lakini wote ni wake za watu na wako stable katika relationship zao.
 
Ahahahahahahahah!! tupo pamoja one page sauti za Umeme, mate yasikutoke mkuu wangu hao ni rafiki zangu tu lakini wote ni wake za watu na wako stable katika relationship zao.

Linda namjua kaka yao Eddy mie rafiki yangu.
 
Back
Top Bottom