CHADEMA yavuna 960 kutoka CCM Arusha

Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..
 
Tuliambiwa hapa CDM imetawala Arusha,hakuna CCM imezikwa! Sasa hao 960 CDM imewapata? Au ni hao hao CDM wanajibadili mchana CCM jioni CDM na Usiku CCM tena? Propaganda za kijinga CDM acheni!
 
Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..
Shame on you too foolish!!
 
kamtafute mmeo akupe taarifa za kukufurasha....
 
Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..

Kamwambie na M/kiti wako wa chichiem ya kwamba wanainchi wa Mkoa wa Arusha wamechafukwa na mioyo hawataki hata kuisikia chichiem masikioni mwao,na sasa wanachofanya ni kuzitupa kadi ya chama tu na kuzipokea kadi ya CDM chama makini na cha UKOMBOZI tu.

Mpe hbr na (MB) mlengwa wa Wilaya Ndg Ole medeye na ukizingatia ni bado ni naibu waziri wa ardhi,mwambie mambo si yenyewe ktk wilaya yake na bado mnasema tupo kwenye miaka 50 ya uhuru,chichiem wajinga wajinga wa miaka 50 ya uhuru bubu tulionao!

Shenzi ta,ip chichiem!
 
Safi sana mapambano kwenda mbele wao wana pesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU anayetupigania
 
Back
Top Bottom