Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Hao 960 ni wale chichiem ilikuwa inawarubuni kupitia kodi ya wanainchi sasa wameapa hawadanganyiki tena.
Arusha, siku zote mnasema ni kambi ya Chadema, sasa hao watu 960 wametoka wapi?
Hao 960 ni wale chichiem ilikuwa inawarubuni kupitia kodi ya wanainchi sasa wameapa hawadanganyiki tena.
kwa hiyo wewe sio mmoja wa hao unaowapa ushauri; why bother? unajua mpango wa uchimbaji visima uliowekwa na CHADEMA?Mimi nilidhani wamevuna watu Dodoma, Singida, Pwani, Shinyanga, Rukwa au Zanzibar!!!!!......Kumbe ni Arusha kule kule. Fanyeni chama kiwe cha kitaifa siyo cha kikanda bana.... kwa hali hii Urais ni ndoto kwenu.
Ngumbaru kweli kweli.Wale wale...
When the head of the family dies, that family breaks up...
Si bure Ritz unamatatizo! Kisima kimoja ni kuanzia milioni tatu leo wewe milion 40 unasema hauwezi kuchimba hata kisima kimoja! Huko ni kujidhalilisha Ritz!
WIVU!i
Utasikia Chadema imeingiza makomandoo 32 kutoka Palestine, Afghanistan, Libya....Ndio tatizo la kupenda kuropoka bila kufanya tafiti ilo mkuu,yaani vibaraka wa magamba wao wakiona hoja wanarukia tu bila hata kutafiti,ila sishangai,ndio style ya chama chao chote
Arusha, siku zote mnasema ni kambi ya Chadema, sasa hao watu 960 wametoka wapi?
NDANI YA MIAKA 5O YA UHURU CCM WAMESHINDWA KUPELEKA HT MRADI WA MAJI WA 1ML KWENYE KIJIJI HICHO, kama unaakili timamu unaweza kutueleza sababu za kushindwa kufanya hvy?
Nimepita kwenye barabra ya kuelekea atakapo zikwa Mh. Sumari barabara imekwanguliwa na inanyeshewa na kawauliza wakazi wa huko wakasema ni neema tuliyo ipata baada ya kusahaulika kwa miaka mingi sasa wametukumbuka sijui kwasababu wakubwa watapita kwenye barabra hiyo maana ilikuwa ni mahandaki tu...Umeonaeee...Miaka 50 full ukata miundo mbinu hadi majanga yatokee ...Aibu kwa MAGAMBA
Arusha, siku zote mnasema ni kambi ya Chadema, sasa hao watu 960 wametoka wapi?
Pumb, usitudanganye garama ya barabara ya kiwango cha lami kwa mahesabu ya CCM ni takribani bil 1.6 iweje leo mil 550 ijenge km 3 hata hivyo kwa CCM hilo si la kujivunia kazi ya ujenzi wa barabra ni la serikali hivyo mbunge kujenga kwa pesa yake ni aibu kwa serikali ya CCM na si kujivunia..Hiyo issue ya mradi wa Sh40 milioni ni ya kawaida sana...
Mbunge wa Morogoro Kusini, Inocent Kalogeris, katumia zaidi ya Sh550 milioni kutengeneza barabara yenye umbali wa kilometa tatu kwa kiwango cha lami.
katika mji mdogo wa Mtamba, Tarafa ya Matombo, ni pesa yake mwenyewe sio kutoka serikalini, sasa na huyu nae atasemaje?
Kama una akili timamu chukuwa hii mpelekee Lema.
kwa hiyo wewe sio mmoja wa hao unaowapa ushauri; why bother? unajua mpango wa uchimbaji visima uliowekwa na CHADEMA?
Au unaongea tu kujaza post.
Hapa Dar es salaam Kampuni ya Bahdela Drilling gharama ya kuchimba kisima kimoja kirefu ni shilling 3500,000/= sasa mwenzetu sijui unazungumzia kisima au kisimi?Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..
Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
Amakweli wivu ni mbaya, sasa hapo kijijini ulitaka kuona umati wa namna gani wewe kama sio ujuha unakusumbua? Big-up CDM big-up Amani Golugwa na viongozi wenzako, tuko pamoja na nyie katika haya mapambano.Duh huo ndio UMATI wa watu!!! Kha! Kweli ukipenda, hata chongo utasema ni kengeza!
Pumb, usitudanganye garama ya barabara ya kiwango cha lami kwa mahesabu ya CCM ni takribani bil 1.6 iweje leo mil 550 ijenge km 3 hata hivyo kwa CCM hilo si la kujivunia kazi ya ujenzi wa barabra ni la serikali hivyo mbunge kujenga kwa pesa yake ni aibu kwa serikali ya CCM na si kujivunia..
kwa hiyo wewe sio mmoja wa hao unaowapa ushauri; why bother? unajua mpango wa uchimbaji visima uliowekwa na CHADEMA?
Au unaongea tu kujaza post.
Ndio maana unaitwa ngumbaru mil. 550 zijenge km 3 za lami? lami ya kichina?Mbunge wa Morogoro Kusini, Inocent Kalogeris, katumia zaidi ya Sh550 milioni kutengeneza barabara yenye umbali wa kilometa tatu kwa kiwango cha lami.