Chadema yaunguruma mombo

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Hivi sasa Mh.MNYIKA ANAHUTUBIA,ANADHIHIRISHA NAMNA gharama ya maisha inavyowasumbua wananchi kutokana na kukwama kwa kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya pamoja na maisha bora na hatimaye bora maisha,anasema hali hii mbaya iombewe isilete machafuko bali umma uandae mustakabali dhidi ya matatizo haya kuelekea 2015.TUTAZIDI KUPEANA TAARIFA
 
Ahsante kwa taarifa hii mkuu.
Tunataraji utaendelea kuiwakilisha vyema JF huko mombo.
Na bila shaka utaweza kupata uhakika wa ziara yao wilayani Lushoto kama ulivyokuwa unaiulizia, makamanda wote unao hapo!
 
Jamani nipo nje ya nchi. Nasikia MAKAMANDA sas hivi wapo viwanja vya Korogwe Manundu. Twanga kote kote MAKAMANDA. DR wa ukweli kawapa makali vijana sasa MAGAMBA wanaipata pata.

Halafu kijana wa KUJICHUBUA NAPE anamtaka DR wa ukweli kule Meru! NAPE ulaaniwe na mizimu ya ukoo wenu. Hata huruma na waTanzania huna kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom