Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

jeykeywaukweli, hapo ndipo kikomo chako cha uelewa??????????????? kupinga matokeo ni sawa kwani wamechakachua ila angeshinda kwa halali tusingekuwa na tatizo nalo. Ushauri wangu kwako fanya shughuli zingine za DR. Slaa mwachie mwenyewe.Pilipili bado iko shamba kwako kujikuna utanishangaza.
 
Kama kuna mwanasiasa Tanzania hajakomaa kisiasa ni KIKWETE, yeye ndiye amekataa kuheshimu maamuzi ya watanzania ya kumkataa yeye na CCM yake na badala yake akaamua kutumia vyombo vyake dhalimu kuiba kura zao walizompigia Dr Slaa na kuziiba yeye. Kikwete angekuwa amekomaa kisiasa angeacha demokrasia ichukuwe mkondo wake na kukubali kuondoka madarakani kwa heshima badala kuendelea kubaki madarakani kwa aibu yaani RAIS MWIZI.
 
Wanashindwa kwenda mahakamani kwa kuwa hawana ushahidi wakutosha zaidi ya maneno ya uchakachuaji tu... Nimechukizwa sana na mwenendo huu wa viongozi wetu.. Eti leo walikuwa na tafrija ya kurekea ushindi! Ushindi upi huo? Au ni huu wa viti 24 vya wa bunge?

WE UNAONA HUO SIO USHINDI, HAO 24 NI KAMA WATU 300, AU UWAFAHAMU VIZURI WALIOSHINDA WEWE?:A S angry:
 
Tusiulize chadema au dr slaa au mbowe wafanye nini ----wamefanya wameonesha njia ---tukumbuke tuliochakachuliwa ni sisi na sio dr slaa. Ombi langu kila mzalendo afanye sehemu yake. Kwanza wabunge na wawakilishi wa nguvu ya umma mjengoni (bungeni) wasusie kikao cha mchakachuaji akienda kuongea na bunge hilo la kwanza, pili bunge likianza ni moto kwenda mbele hakuna kulala. Wananchi kwa nafasi zetu kila mmoja apeleke ujumbe kwa nec kwamba hatuitaki ni nec mfu, sis tumeanza na huyu jamaa bingwa wa uchakachuaji mkubwa wa nec tunataka aelewe kwamba kazi yake imeangamiza taifa hivyo ajiuzulu hatufai sio mzalendo
 
Wasiishie hapo tu, wasiitambue na hiyo tume ya uchaguzi.

wengi tu hatumtambui - yaani yupo kama kivuli tu - rais gani anayetia wanachi wake aibu kwa kutokuwa mwaminifu? yaani kura zinaibwa wazi wazi ..................... anaweza kuja kutuuza siku moja................

naungana na Dr. Slaa na CHADEMA - kutomtambua!!!!!!!!!!!!!!!!!! labda aombe radhi na aachie ngazi ampishe aliyeshinda UCHAGUZI 2010 TANZANIA - DR. W. SLAA
 
kuna kitu kinaitwa separation of power..judiciary, parliament. and executive..lakini hivi haviwezi kufanya kazi bila kuingiliana perse..hence check and balance..kwahiyo mihimili yote mitatu inaingiliana...bunge bila raisi hakuna bunge, na raisi bila bunge hakuna serikali..vitu kama kusaini muswada ni sehemu muhimu ya kazi ya raisi..therefore humtambui raisi huo ni msimamo wa chama lakini kiutendaji wa kazi za kikatiba lazima raisi utamtambua tu hata kama indirect.

hutaki kabisa kumtambua raisi achana na shughuli zote ambazo unajua lazima raisi atatia mkono wake upende usipende, ikiwa ni pamoja na kuutema ubunge..
 
Chadema ni sitaki nataka...na wakikutana na prezidaa mwenyewe wataanza kujichekesha.

Juzi nimemuona Mbowe anashuka kwenye STK gari ya serikali anaonekana mwenye furaha sana :smile:
 
Chadema ni sitaki nataka...na wakikutana na prezidaa mwenyewe wataanza kujichekesha.

Juzi nimemuona Mbowe anashuka kwenye STK gari ya serikali anaonekana mwenye furaha sana :smile:

Kama Kikwete anachekesha kwa nini CHADEMA wasicheke au wasimcheke? Ulitaka Mbowe akishuka kutoka kwenye hio gari anune! Akinuna itasaidia nini?
 
Wanashindwa kwenda mahakamani kwa kuwa hawana ushahidi wakutosha zaidi ya maneno ya uchakachuaji tu... Nimechukizwa sana na mwenendo huu wa viongozi wetu.. Eti leo walikuwa na tafrija ya kurekea ushindi! Ushindi upi huo? Au ni huu wa viti 24 vya wa bunge?

whaaaat? viongozi wetu walikutana kusheherekea ushindi wakati bado tuko kwenye vita ya ukombozi?
 
Hawa Chadema wanaboa sana!!

Miaka yote ya uchaguzi kulikuwa na wizi mwingi, lakini hawa chadema miaka yote walikuwa kiti cha mbele kuwakumbatia wezi wa kura, Mwaka huu ndio wameona????


Viongozi wa chadema kweli ni wakurupukaji, hawa waliwasaliti wapinzani ktk kila baada ya uchaguzi walijikomba kwa viongozi. hiki ni chama kisicho na muelekeo na hakina uzowefu wa uchaguzi angalau ndani ya chama chao
 
To have real and positive changes in Tanzania, we don't need lawyers. Lawyers are sources of all confusion we witness today. Lawyers are, but medium of confusion. I am talking of lawyers like Rugemalira. Let's follow a path of Rwanda and Libya. It is now obvious that we can not move forward, unless we do away with lawyers in this country.
 
Back
Top Bottom