Chadema yatingisha tabora

kapya

Senior Member
Oct 5, 2012
153
54
chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kitengo cha bavicha wilaya ya tabora kimefanya mkutano wa hadhara eneo la kata ya mbugani, uliongozwa na makamanda kutoka chuo cha saut tabora .mkutano ulihutubiwa na makamanda wa chadema wakiongozwa na katibu mwenezi wilaya bw.Ally loice maarufu mwanafyale.pia aliyekuwa diwani wa kata itonjanda bw.moses singu.makamanda walopata nafasi ya kuhutubia ni mwakipesile,miho nafiwe,bw.saimon(m/kiti bavicha tabora),

agenda
ufunguzi wa matawi
elimu ya uraia na katiba
maadili ya viongozi na ubadhirifu wa mali za umma.

mafanikio.
wamefungua matawi na kusimika uongozi.
wamefungua wanachama wapya na walovua maga

general comments

"
now pple are ready to change their mind"
kweli ndani ya chama kila mtu ni kichwa,they never wait for top leaders.

Ooops! Itachukua miongo kadhaa wana Tabora pamoja na wilaya zake kubadirika. Lets wait and see.
 
Nimeiona ile gari ya chadema jioni ikipita.chadema tabora amkeni bana,kuna watu wengi washaichoka ccm tbr,ila wanashindwa pa kuanzia,wamebaki wanahang loose ukizingatia cuf nayo ishakufa tbr.
 
Kama kuna mikoa misumbufu na haitabiriki kwa ukombozi wa pili wa Tz basi Mboka ni miongoni. Kama BAVICHA wameweza kuwazindua basi ni habari njema. Kazeni buti!
 
Inakueje thread inakua Tetesi afu unatuambia CDM imetikisa Tabora? Anyway watu wa Tbr me nawajua, cku CDM wakitikisa hapo bs wanachukua nchi.....
 
Inakueje thread inakua Tetesi afu unatuambia CDM imetikisa Tabora? Anyway watu wa Tbr me nawajua, cku CDM wakitikisa hapo bs wanachukua nchi.....
' jamani nimakosa ktk kuselct kati ya alert news na tetesi ila nilimaanisha kama ulivyofafanua yaani chadema imetikisa tabora"
 
Weka picha basi maneno matupu tu.

Usiwe that simple minded.Kila kitu unataja picture tuu hata kama upo kati kati ya ndoto..Kuna vitu ushahidi wake ni harufu. JF haiwezi beba harufu sijui huku kutoumiza akili ili kupata vitu vingine vya kuilewa story au hata kuimaini kutawasaidia hadi lini.At least kwa miaka ya karibu mpaka technologia iruhusu kupeleka vitu kama harufu.
 
Makamanda mie kuomba picha wote mnanishambulia haya Chadema mmetisha Tabora.
 
Weka picha basi maneno matupu tu.

Usiwe that simple minded.Kila kitu unataja picture tuu hata kama upo kati kati ya ndoto..Kuna vitu ushahidi wake ni harufu. JF haiwezi beba harufu sijui huku kutoumiza akili ili kupata vitu vingine vya kuilewa story au hata kuimaini kutawasaidia hadi lini.At least kwa miaka ya karibu mpaka technologia iruhusu kupeleka vitu kama harufu.
 
Ooops! Itachukua miongo kadhaa wana Tabora pamoja na wilaya zake kubadirika. Lets wait and see.

Hiyo kauli yako sio sahihi, nenda Igunga ukaone hali ilivyo, unavyo iona Arusha ndivyo ilivyo Igunga.
 
Weka picha basi maneno matupu tu.

Maneno ni muhimu kwanza picha huwa ni uthibitisho lakini si unakumbuka CUF walibandika picha za 2010 kwa hiyo kwa maana yangu picha inaweza kukudanganya, kingine Mwigulu alifanya mikutano Igunga iliyojaza watu lakini hotuba zilikuwa ni matusi tu na ndo maana hapa JF walibandika picha tu bila maelezo
 
Inakueje thread inakua Tetesi afu unatuambia CDM imetikisa Tabora? Anyway watu wa Tbr me nawajua, cku CDM wakitikisa hapo bs wanachukua nchi.....

Hata ktk hitech industry huwa makampuni ya ndege , ya software, na hata vitu ka Tablet na Smartphone, au hata movie, kuna mitandao huwa inaanza toa kama tetesi...ila tofauti ya tetesi zetu na za wengine ni kwamba zetu zinakuwa hazina probability ya kuja kuwa kweli kama wenzetu ambao huwa wana protocols za kuuliza na kutoa dondoo ili isi soko lijianae.Huku wakikwepa sheria kuwabana kwa kauli zao.

Ukisikia kuna tetezi drogba kwenda kufikiria kwenda china ujua tayari kuna dili ipo katk mchakato.N ahizo kauli ni za kupima maji n akuongeza uzito.

By the way google,facebook,twitter, apple wamefanya yale makampuni makubw na mazee mazee yalishindwa fanya kwa miaka ila wao wakafanya chini ya miaka mitano ya umri wa makampuni na si hata umri wa bidhaa km ipad,iphone, google maps etc ,.CDM wanaweza fanya kile kisochowezekana kwa wengi.Jimbo wasilosimamisha mtu wamerudi baada ya miaka chini ya miwili na kushindwa kwa mbinu nyingi za CCM,zikisaidiwa na uhailifu.
 
Back
Top Bottom