CHADEMA yateka Tunduma.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa vijana CDM John Heche ameutikisa mji wa Tunduma kwa kulakiwa na maelfu ya watu huku akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara.
Heche ameonyesha kushangazwa na mbio za mwenge nchini na kulaani matumizi mabaya ya kodi za wananchi.Heche ametoa mfano kwamba msafara wa mbio za mwenge unaweza kutumia milioni mia mbili kwenda Tunduma lakini ikazinduliwa miradi ya milioni nne.Hii ni sawa na uhujumu uchumi.Pia maelfu ya wananchi walijiunga na CDM,ambapo baadhi yao ni kutoka CCM na vyama vingine.

Source:ITV Habari.
 
Kwa Tunduma,this is not news! vijana wana akili zao wale,magamba huwa yanapapita pale kama kituo cha polisi!
 
Mwenyekiti wa vijana CDM John Heche ameutikisa mji wa Tunduma kwa kulakiwa na maelfu ya watu huku akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara.
Heche ameonyesha kushangazwa na mbio za mwenge nchini na kulaani matumizi mabaya ya kodi za wananchi.Heche ametoa mfano kwamba msafara wa mbio za mwenge unaweza kutumia milioni mia mbili kwenda Tunduma lakini ikazinduliwa miradi ya milioni nne.Hii ni sawa na uhujumu uchumi.Pia maelfu ya wananchi walijiunga na CDM,ambapo baadhi yao ni kutoka CCM na vyama vingine.

Source:ITV Habari.

Hii inaitwa twanga kote kote wakati Makamanda lema,Nanyaro,Milya wanapeleka mbio M4C kanda ya kaskazini Kamanda Heche na Deo wanakamua Nyanda za juu kusini i like this wapi malisa na shigela?Time will tell.
 
Mwenyekiti wa vijana CDM John Heche ameutikisa mji wa Tunduma kwa kulakiwa na maelfu ya watu huku akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara.
Heche ameonyesha kushangazwa na mbio za mwenge nchini na kulaani matumizi mabaya ya kodi za wananchi.Heche ametoa mfano kwamba msafara wa mbio za mwenge unaweza kutumia milioni mia mbili kwenda Tunduma lakini ikazinduliwa miradi ya milioni nne.Hii ni sawa na uhujumu uchumi.Pia maelfu ya wananchi walijiunga na CDM,ambapo baadhi yao ni kutoka CCM na vyama vingine.

Source:ITV Habari.

umati kama kawaida ulitisha!!! lakini tatizo ni utumbo wa viongozi na sera zao wanapofika jukwaani, mara kadhaa wameonekana kukosa kabisa uzalendo wa taifa lao ktk kuenzi na kutambua alama muhimu kwa taifa lao, eg swala mwenge ni kweli linazungumzika lakini si kwa maatiki moja tu ya gharama na kuona kwanini mwenge ukazindue mradi wa shs 4/m kwa kigezo ni mradi mdogo, ni vema tukajadiliana kwanini MWENGEuliwashwa na mwalimu? je kwa sasa bado inasound kuendelea kuwa na zoezi hilo? na kama ndiyo ni maboresho gani yanastahili kufanywa.
 
Unaweza ukaeleza faida za mwenge ni zipi?.na mwenge usipokimbizwa ni hasara gani anazozipata mwananchi?.kama kuna vitu vilivyofanyika au kutumika hapo mwanzo vilikusanywa na kuwekwa kwenye jengo la kumbukumbu kwa ajili ya kukumbusha na kuelimisha vizazi vijavyo kuwa hayomatukio au hivyo vitu vilikuwepo.kwa nini mwenge naousihifadhiwe kwaajili ya kukumbuka nakufundisha vizazi vijavyo.kuliko km sasa ambapo wananchi nawafanyakazi wanauchangia bilahiari
 
Back
Top Bottom