CHADEMA yatangaza maandamano Kigoma

Jamani kulikuwa na Ratiba ya kufanya maandamano machi 13, 2011 mjini kigoma naambiwa Dk na viongozi wote walifika lakini sijapata update hapa kwenye Forum, Je maandamano yalifanyika au yaliakhirishwa mpaka lakini na kwa nini?

Kwani Tarehe 18.04.2011 zimefika? Acha kukurupuka
 
Jamani kulikuwa na Ratiba ya kufanya maandamano machi 13, 2011 mjini kigoma naambiwa Dk na viongozi wote walifika lakini sijapata update hapa kwenye Forum, Je maandamano yalifanyika au yaliakhirishwa mpaka lakini na kwa nini?

IMENIFURAHISHA KUSIKIA
asante kwa swali lako,katika kilicho nivutia basi ni peoples power issue.
 
CHADEMA sasa itakuwa Chama cha Demokrasia na Maandamano? Mzee Mtei atajisikia vibaya mkibadili jina la Chama hiki!
 
eti sio kuvunja katiba, hatuna katiba tuna uozo mtupu kwanza ni katiba ya ccm na si ya wananchi hatuitaki na hatuongozwi na uozo ndo maana tunataka kuandika katiba mpya. km wewe unafaidika na hii katiba shauri yako sisi chadema tutawasha moto mkuuubwa tuu, hatunyenyekei mafisadi sisi wala kuwalamba miguu tunatengeneza nchi yenye utawala bora na katiba swafi na si km ccm wanavyofanya. kaka hii nchi ni ya watanganyika wote na si ccm kwa hiyo hatupangiwi na mtu tunapanga sisi wananchi. km wewe muoga lala nyumbani sisi tunaandaa maisha mema yetu ya baadaye na si u ccm.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom