Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza, wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuacha kutumia ofisi ya Meya wa Jiji la Mwanza kama 'kijiwe' wamesema ofisi hiyo iachwe itumikie wana Mwanza wote bila kujali itikadi ya vyama. wanashangazwa namna Chadema kinavyotumia vibaya ofisi hiyo kwa kufanyia vikao vyao vya ndani badala ya kutumia ofisi zao, Wananchi ambao si waufuasi wa Chadema na wale ambao hawana vyama wamekuwa wakipata wakati mgumu kumuona Meya wa Jiji la Mwanza kwa ajili ya kuwatatulilia matatizo mbalimbali. Ofisi ile ni ofisi ya umma na si ofisi ya CCM, CUF, CHADEMA,
SOURCE:
MTANZANIA MEI 14. 2011
SOURCE:
MTANZANIA MEI 14. 2011