Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
si kweli kwamba hautaki muungano tatizo ni muungano wa kulazimishana watu wengi wanapenda muungano lakini on mutual respect and benefits.. mimi naunga muunga uwe moja "one country" well managed na katiba inayotoa fursa sawaJasusi,
..Wazanzibari hawautaki huu Muungano. they simply do not want to be identified as Tanzanians. sasa ya nini kuwalazimisha?
..Watanganyika kule vijijini hawana habari nao kabisaaa.
..vurugu zitatokea kama tutaendelea kungangania huu Muungano mpaka Wazenj watakapoamua kufanya vurugu na maasi. sasa kabla hawajafika huko bora tuwarudishie mamlaka kamili ya nchi yao.
..kuna taratibu zinazopaswa kufanyika ktk kuvunja muungano huu. tunaweza kutafuta msaada na ushauri on how to proceed.
..tunapaswa kuzingatia hayo hapo juu ili kuondoa uwezekano wa kutoa vurugu na uhasama unaouzungumzia.
Anayefikiria kuuvunja muungano ni mtu aliyekata tamaa tu na hajaelimishwa vizuri...after all those years lililo bora ni kwenda mbele zaidi
watu kama wewe na wengine ni kuwaacha na kuwapuuza sisi tunaanagalia mbele zaidi na vizazi vijavyo..
hakuna ambacho ni kero za muungano ambazo haziwezi kupata ufumbuzi hakuna kabisaa ila ni type ya viongozi tulio nao zenj na bara ambao hawafanyi maamuzi kwa manufaa ya watu