Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
- Thread starter
- #101
Ifikie kipindi ungozi wa chuo na serikali husika, wakae chini ili kutatua matatizo ya wanafunzi, haiwezekani migomo kila sku, kuna tatizo tena kubwa! inasikitisha sana kila siku wanafunzi wamefukuzwa chuo je tutafika? hata mkuu wa chuo kama si shinikizo basi nae achunguzwe vizuri.wanafunzi wataendelea kufukuzwa hadi lini, wakidai haki wanafukuzwa, kwa nini wabunge wakidai kuongewa posho hawafukuzwi? naomba nijibiwe au kuelimishwa, inaskitisha sana ndugu zangu
tatizo ni kwamba mkuu wa chuo anapokea maelezo ya nini cha kufanya,wangapi wafukuzwe na kwa kipindi kipi..adhabu kama ya kutodahiliwa chuo chochote nchini haiwezi kutoka mojakwamoja kwa prof.mukandara..kuna nguvu ya ziada..nakumbuka wakati vijana walipokamatwa kwa maandamano..wakati wapo kituo cha police oysterbay police mmoja aliwaambia 'nendeni mmuombe msamaha mkuu,mliyemzomea chuoni'