CHADEMA yatajwa mgomo chuo kikuu...

kama ndiyo basi wakubali kumbe chadema ilishinda kwani huwezi ukawa na ushawishi wa kila sehemu kama hukubariki waipishe iongoze nchi.....

mkuu si unakumbuka mgogoro wa kufunga vyuo kipindi kile cha uchaguzi ili wasomi wa vyuo vikuu wasipige kura.
 
Hilo chama la Magamba limeshajiishia tunasubiri siku tu,maana linatapatapa tu,badala ya kutafuta chanzo na njia ya kumaliza migomo UDSM wao wanakimbilia CDM.majizi sana haya magamba,lakini hawajui ya kuwa wanajichimbia shimo kwa kufanya maamuzi ya kiuaji namna hiyo,huwezi kusema watu wasidahiliwe chuo chochote hapa nchini na watu wakaendelea kukufurahia,haki yao wanadai wanalipwa virungu,mabomu na maji ya kuwasha,ila wao hela za kulazimisha watanzania waone wameleta maendeleo tangu uhuru zilipatikana,kwani kulikuwa na haja gani kufanya sherehe zenye kugharimu pesa nyingi?ujinga wa magamba-ccm utatupeleka pabaya

kukatza watu wasidahiliwe chuo kingine chochote,kisa wamefukuzwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni ukatili wa aina yake,hawa jamaa ukikwazana nao wanaweza kukufutia ata uraia.
 
CHADEMA=UDSM!!nahamini hki kitu kitakuwa sawa.
Nitaanza na vigezo vifuatavyo :-
1.Wote wana-tabia ya kudai haki kwa njia ya maandamano.
2.Wote ni waoga,wakitishiwa nyau tu wanarudi tunduni.
3.Viongozi wao ,wengi wao ni wanafiki.
4.Wanapenda sifa kwa wananchi.
5.Wote umaarufu unapotea au unapungua kwa speed ya ligh.
6.Maandamano yao uwa hayana mafanikio.
7.....
8,....
9.....
Ebu endelezeni ndugu zangu wapendwa!!
Kama unabisha,"raise intellectual defence".
SOURCE:wanaojielewa wote watakuwa na source.
 
Mimi nilikuwa nasubiri muda tu wala hii habari siyo ya kushangaza maana hata
kabla hazijaandikwa nilitaraji mwisho wa siku itakuwa hivi. Tukumbushane kabla
ya uchaguzi ni hawa hawa chama cha magamba waliwapeleka pale Diamond Jubilee
huku mgombea wao akiwa na bashasha tele kuwahakikishia kuwa suala la kukosa
mikopo litakuwa historia leo badala yake wamepelekewa POLISI wenye silaha
sijajua kama hela za ahadi ya mikopo ndizo wamenunulia silaha ua?Mimi
sioni logic ya kuwa na fikra fupi fupi kama mkia wa mbuzi ni wajibu wa watawala kuhakikisha elimu
na mikopo inatolewa kwa wakati kama walivyohakikishiwa wao mpaka leo wanaitwa
MAPROFESA MAWAZIRI WENGINE MARAIS, Mwl.Nyerere alifanya kazi na nakumbuka
katika moja ya mikutano yake alisema haelewi kwanini watu wanakimbilia IKULU
ilihali yeye amekaa pale miaka 25 hajaona faida zaidi ya mateso ya kifikra kutokana
na ufukara wa ANAOWATALA, mm nadhani watanzania wa leo si wale wakupewa
ahadi za KUTABIRI kama watawala walivyozoea ni wakati wa kuamka na kusonga
mbele hela za sherehe za mapinduzi na miaka hamsini ya uhuru ulioko kizani tunazo
hizi za kuwapa posho zao shahiki Madaktari na mikopo ya wanafunzi ni ngumu kuzipata,
viongozi waache kutumia MASABURI kufikiri watumie AKILI si kutafuta sababu fupi kama mkia wa
MBUZI

udsm sasa hivi ni kama kambi ya jeshi,polisi wanashinda chuoni eti wakizuia maandano kwa siku nne sasa, sasa sijui hizo ela za kuwalipa polisi waolinda chuo kila siku na kujaza magari mafuta yashinde yanazunguka chuoni zinatoka wapi.
 
Hii serikali ya CCM imelaniwa,imeshindwa kutimiza mahitaji ya wanafunzi wanasema eti Chadema wanawashawishi wagome,wakati ujambazi wao,wizi wao na kukosa utu katika kutumia kodi za watanzania ndiyo unaosababisha matatizo yote hapa nchini.
 
acha kulinganisha chuo na chama hayo ni mawazo mafuu huna jipya kilaza wee
 
Virauni unayetumiwa na majambazi,majizi wa CCM Kueneza propaganda ili muendelee kuwaibia watanzania mali zao,unatumika vibaya wewe mke mdogo wa Nape!
 
Hii serikali ya CCM imelaniwa,imeshindwa kutimiza mahitaji ya wanafunzi wanasema eti Chadema wanawashawishi wagome,wakati ujambazi wao,wizi wao na kukosa utu katika kutumia kodi za watanzania ndiyo unaosababisha matatizo yote hapa nchini.

wanazidi kuipandisha chadema maana inaonekana kila penye tatizo chadema inakuepo.
 
Ile udsm ya mkandara? subirini itawatokea puani na mtajuta kufukuza watoto wa maskini kwa maagizo ya ccm
 
jaman kuna mashoga humu,.yaan wadogo ze2 wanafukuza kwa kudai haki mnafananisha na chadema..njoo nikusugue kwa gunzi kwan naona basha lako halikutimizii vizuri..
 
jaman kuna mashoga humu,.yaan wadogo ze2 wanafukuza kwa kudai haki mnafananisha na chadema..njoo nikusugue kwa gunzi kwan naona basha lako halikutimizii vizuri..

Wewe kweli TAHILA,kosa langu ni nini hapo??
SHANGAZI MKUBWA WW!
 
Back
Top Bottom