CHADEMA yasimamisha maandamano yake leo

sure ritz na rejao hakuna post ya cdm ambayo hawatachangia. am sure hawa wako kazini. maana saa mpaka saa tisa usiku wanachangia asub saa 11 wanachangia. yaan afu pumba tu.
Ajira hiyo kutoka kwa Nape mkuu.
 
Baada ya kupata fununu kwamba Mbowe hataki dhamana na yuko tayari kwenda mahabusu Makamishna wa Polisi wamefanya kikao na Mbowe na kumwomba asitishe maandamano. Wamesema maji yamewafika shingoni kazi inawashinda.

Hapa Arusha ni siku ya tatu polisi wanafanya kazi kwa bila mapumziko. Wameomba Chadema waorodhesha malalamiko yao yote ili waanze mjadala. Baada ya kikao hicho wakamsihi aondoke polisi bila kumfungulia mashitaka yoyte na leo arudi na viongozi wa chama waweze kuanza majadiliano.
 
Tangu jana tushasema, tunachosubiri ni go ahead, katiba inaruhusu maandamano na polisi kazi yao ni kupewa taarifa ili walinde mikutano hiyo cha ajabu tunaowalipa kutekeleza na kuilinda katiba ndo wanaivunja na kulinda pamoja na kutekeleza mikakati ya ccm!

Haya mambo ya kawaida kwa polisi kufanya kazi za chama cha mapinduzi! Lakini wajue tunaona, tunapima na mwisho tutaamua!iwapo maandamano yataamri na ofisi ya chama chetu sisi lazima tuandamane, lakini niwaambie wale wavivu wa kusoma, katika vuguvugu lakisiasa, mabadiliko yanapitia njia nyingi sana, hila nyingi zitatoka, watu wengi watatumika kuzima joto lakini tushaona nchi nyingi hizo hila mwisho zimeshindwa na nguvu ya umma!

So worry not, as long as kila mwananchi anaona ujinga na upmbavu unaofanywa na akina kova, mwema na jamii yao, sinage of falling are already out!pamoja sana tutashinda, hii ni vita inayoitaji moyo na ushujaa!
 
Usiwe mwehu wewe! Polisi wanajijua hawana mamlaka kusheria kupiga marufuku hayo maandamano ndio maana wanakutana na makamanda kujadiliana jinsi ya kuweka mambo sawa

Akili ukwaju kweli, hivi wewe na Kova nani mwenye kuwasemea polisi?
Nimeona Kova kwenye taarifa ya habari kapiga marufuku maandamano..

Katoa sababu ya kupiga marufuku maandamano hiyo sababu yako ya makamanda sijui umeitoa wapi..
 
Baada ya kupata fununu kwamba Mbowe hataki dhamana na yuko tayari kwenda mahabusu Makamishna wa Polisi wamefanya kikao na Mbowe na kumwomba asitishe maandamano. Wamesema maji yamewafika shingoni kazi inawashinda. Hapa Arusha ni siku ya tatu polisi wanafanya kazi kwa bila mapumziko. Wameomba Chadema waorodhesha malalamiko yao yote ili waanze mjadala. Baada ya kikao hicho wakamsihi aondoke polisi bila kumfungulia mashitaka yoyte na leo arudi na viongozi wa chama waweze kuanza majadiliano.


walidhani mziki wake ni mwepesi? hao polis ni wajinga sana wanakubali kutumiaka pasipo kujua ...na hayo mazungumzo huenda yasizae matunda ya maanaa
 
Mbona unapotosha wewe sema polisi yapiga marufuku maandamo ya Chadema...

Sio Chadema yasimamisha maandamano yake
Kama ningekuwa na uwezo walah ningekutoa pumzi mara moja shetani usie na haya wewe, inaonesha ni jinsi gani ulipewa majukumu ambayo huna uwezo nayo. Waache wenye nia njema waandelee kujenga amani kwa mazungumzo na si vinginevyo.
 
Kwa hiyo mliamua maandamano mfanyie viwanja vya nyumba Kimara Bonyokwa, Temboni, Baruti..

Mngekutana wengi wa Kibosho, Marangu, Mwika, Kishumundu, Old Moshi, Mawela, Rombo juu, Mwika, Uru, Machame, Mawenzi..

Maandamano yangependeza sana
Umesahau kuwa watu wa Msata nao waliahidi kushiriki na kabla ya kuahirishwa walikuwatayari kwenye tukio, tunawapongeza sana kwa uzalendo wao kwani makali ya maisha yaliyoasisiwa na utahaira wa viongozi wa CCM unawagusa watanzania wote pamoja na wewe unayelipwa bukubuku kwa kuandika kinyesi humu.
 
Huna kazi ya kufanya wewe ndo maana kila wakati unapost ugoro humu. Tafuta kazi ya kusukuma hata mkokoteni ikuweke bize. Au njoo kwangu nikupe kazi ya kufua nguo za watoto.
Hata ikiwezekana atafute ya Kusukumwa Masaburi na David Cameroun
 
You Chadema stop kiding people,how do you think to impinch JK,Hivi mnajua maana ya demokrasia kweli au ndo kusema mnaona fashion yanayotokea kwa waarabu,Mwacheni Rais aliyechaguliwa kwa haki amalize muda wake ,mshindane 2015 tuwagaragaze,haiezekani watu tuache kupambana na maisha eti tuandamane,tutakuja kula mezni kwenu,viongozi msiwadanganye watu,msiwajaze watu jazba na keleta uvunjifu wa amani,tatizo wengi hamjuni Tanzania ni tofauti na nchi zote za Afrika,msiote ndoto za alinacha kuchukua dola kwa maandamano,na nawaambia hakika 2015 majimbo kumi na tano yanarudi CCM
 
Ovyo tu hapa kama watu wamechoka si wakafanye kazi nyingine jamani! mnashusha heshima ya jf
 
You Chadema stop kiding people,how do you think to impinch JK,Hivi mnajua maana ya demokrasia kweli au ndo kusema mnaona fashion yanayotokea kwa waarabu,Mwacheni Rais aliyechaguliwa kwa haki amalize muda wake ,mshindane 2015 tuwagaragaze,haiezekani watu tuache kupambana na maisha eti tuandamane,tutakuja kula mezni kwenu,viongozi msiwadanganye watu,msiwajaze watu jazba na keleta uvunjifu wa amani,tatizo wengi hamjuni Tanzania ni tofauti na nchi zote za Afrika,msiote ndoto za alinacha kuchukua dola kwa maandamano,na nawaambia hakika 2015 majimbo kumi na tano yanarudi CCM

mmh hapo kwenye red nina wasiwasi, duu hebu badilisha hiyo sentensi bana aah!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom