Chadema yashinda udiwani arusha(daraja mbili),ccm yashinda arumeru (bangata)

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
CHADEMA jana iliibuka mshindi katika kiti cha udiwani kata ya daraja mbili kwa kura 2193 dhidi ya ccm iliyopata kura 1324,huku CUF 162,NCCR MAGEUZI 22 NA TLP 42

Hata hivyo katika kata ya Bangata Mgombea wa CCM alipata ushindi .
 
swali
kitu gani hasa kilichopelekea mgombea wa chadema kushindwa arusha ?? je ilikuwa ni swala la rushwa au mgombea usika
hakuwa na sifa za kuwa diwani?? ni vigumu kuamini kama uchaguzi ni nguvu ya hoja CCM wanaweza kuja na hoja gani ya kuizidi ya msingi kwnai umaskini uliotapaa kila kona ni ushahidi tosha wa kushindwa kwa sera za ccm please let us know.
 
Back
Top Bottom