Shinyanga walishazika CCM siku mingi, Dr.Slaa jiandae kuongoza nchi iliyofilisika, lakini tuna imani na wewe utarejesha matumaini, ulisema hutaingia ikulu kwa kumwaga damu za watu 2015 utaingia bila tone kudondoka maana hata uchakachuaji wa magamba hautawezekana kutokana na margin itavyokuwa kubwa.Karibuni shytown.
Mkuu Omutwale, hiyo kwa kanuni zetu za JF ni name callling.
Umenisahau waitu omutwale.
Vipofu wameanza kuona
Nilikuwa natania tu. Ni mapungufu gani tena unayosema?Mkuu Gagnija
Nilifikiri name calling code inafanyika kwa mtu kusema Omutwale ni James Paul kumbe pia kusema asili ya pen ID ni kuvunja sheria? Sikujua!! Lakini wenye asili wenyewe wanapenda kutambuliwa na wanaona fahari pamoja na mapungufu ya hivi karibuni katika Mkoa wao. Si unaona?!
Fikra hizi husababishwa na ndumu nyingi na viroba heko zikiisha kichwani utaelewa sanaaaa!Shinyanga walishazika CCM siku mingi, Dr.Slaa jiandae kuongoza nchi iliyofilisika, lakini tuna imani na wewe utarejesha matumaini, ulisema hutaingia ikulu kwa kumwaga damu za watu 2015 utaingia bila tone kudondoka maana hata uchakachuaji wa magamba hautawezekana kutokana na margin itavyokuwa kubwa.Karibuni shytown.
Nilikuwa natania tu. Ni mapungufu gani tena unayosema?
Kuna wimbo wa Bob Marley unasema: Shinyanga GET UP STANd UP......naona hapa wimbo umesikikaShinyanga iko kanda ya kaskazini nini?
hivi hili jimbo si ndio mgombea wa Ubunge wa CCM alishinda kwa kula moja?Vipofu wameanza kuona
Hii ni rasharasha tu, mambo bado kabisaaaaaaaaa. M4C kintu ingine kabisa.