Baada ya msuguano wa mda mrefu wa ccm kugoma kuitisha uchaguzi,huku wakitumia mbini chafu kuhakikisha wanafanikiwa kuongoza kijiji cha ruaha kata ya ruaha hatimaye wamesarenda na kuitisha uchaguzi ambao wajumbe walihusika kumchagua mwenyekiti na hatimaye BW.MALIWA WA CDM ameshinda hvyo anasubiria kujakudhibitishwa kwa wananchi na kuapishwa.source.mwenyewe niko kilombero