CHADEMA yasafisha tuhuma za Nape kupitia Channel ten - Kisha wamburuta Kwa Msajili

"CCM ni kama panya. Mtu ukiwa haupo nyumbani panya huingia mpaka sebukeni. Ila mwenye nyumba anapokuja mapnya hukimbia sebuleni na kuingia uvunguni na maeneo mengine ya nyumba. CHADEMA ndio mwenye nyumba na yuko nyumbani kwa hiyo mapanya yamekimbia sebuleniu kuelekea uvunguni.

Kwamba sebule ni majimbi yote ya mjini kama mwanza, Arusha, Mbeya , Ubungo, Kawe, Moshi Iringa na sasa inaingia mpaka uvunguni yaani majimbo ya vijijini kumsakanya panya. Operesheni sangara inayoendelea Morogoro na mikoa ya Iringa, Dodoma, na Manyanya kukijenga chama ni sawa na kumtimua panya uvunguni."

Kauli ya kumalizia ya Anthony Komu.
 
Nape nape,hivi bado hamjaenda na kipindi kuhusu uelewa mdogo wa binti huyu ukichanganya siasa chafu za magamba ndo kabisaaa.
 
Waliomtuma Nape aseme uwongo huo ndio hao hao waliowatuma wale waliomtesa Dr Ulimboka na kama sijakosea yule Mwenyekiti wa Chama chenye sera kandamizi za misitu ya pande anahusika kuwatuma wote hao
 
Kwa coments ninazoziona thatha na nape ndio huyohuyo! Hana point kabisa! He cant argue, i dont know how to describe him
 
Eti vuvuzela Nape anasema alikuwa anaishauri tu CHADEMA.Tangu lini CHADEMA ikakosa mshauri mpaka ihitaji ushauri wenye makengeza wa huyu mchumia tumbo Nape?Anachofanya huyu Nape ni kuudhihirishia umma wa wa Tanzania kuwa CCM ni chama dhaifu na viongozi wake wote ni dhaifu, kwani kwa nafasi yake aliyoichokua anabwabwaja na ndo msimamo wa CCM na serikali yake dhaifu.
 
naona chadema wameelewa somo la Great thinker wetu mkuu Nguruvi3; DHANA YA DAMAGE CONTROL kazi nzuri sana chadema.!
 
Kwa hiyo chama makini kinajibu cheap propaganda za taahira? Nape you are the man.
 
Mbona wamekuwa wengi sana wanaomjibu NAPE mmoja wanahofu ya nini?
Mgonjwa mmoja mwenye virusi anaeneza kwa wengine, yafaa ashughulikiwe na wengi kama sio jamii nzima!.
Hello People lets join together to combat the so called NAPE from transmitting UPUUZI to Tanzanians
 
NAPE ni kilaza mno, yaani hata mwanangu yuko form one nina uhakika ukimpambanisha nae kwa maswali ya ufahamu atakula kona kwa aibu! Unajua ukiwa mfuasi wa MAGAMBA tena kijana lazima uwe hauko sawa kidogo na uwe tayari kukubali hata ukiambiwa 2+2=22,Kama NAPE ni kijana smart na hayuko CCM kwa ajili ya mdomo,yeye si aliingia kwa mbwembwe akasema lazima mafisadi wang'oke ndani ya siku 90 na kwamba chama kinajisafisha na pacha watatu watawekwa kando! sasa kama mwenyekiti wake leo hii amemsafisha mmoja wapo na najua atamsafisha aliyebakia siku chache zijazo japo sijui ataongea kwa lugha gani, NAPE leo ana msimamo gani? Je naye amebadilika na kukubaliana na maneno ya Mkuu wake? Kama ndiyo huyo ni kijana anayejitambua na asiyekuwa tayari kufanywa taulo la mafisadi? Sasa hivi ahadi nyingi alizozitoa mwanzo ameshindwa kila siku kwenye vyombo vya habari kupiga propaganda chafu kwa CHADEMA!! NAPE kama kweli unajiona uko smart basi isafishe CCM kwanza ikishakaa sawa wala hauhitaji propaganda chafu kwa CHADEMA,watu wataanza kuikubali CCM mpya na kukupongeza,hauwezi kuitakasa CCM kwa kuiponda CHADEMA kila kukicha..We umekunya badala ya kunawa uwe msafi unampaka mwenzako mavi ili tumuone mwenzio mchafu zaidi! hii ni akili au matope? sisi tutamuona mwenzako ni msafi na wewe ndio mchafu kwani si tumekuona unampaka uchafu wako!
 
Kwa hiyo chama makini kinajibu cheap propaganda za taahira? Nape you are the man.
Hakuna anayeachwa.......... damage control haiangalii nani kasema......Tunajua Nape ni mweupe sana, lakini anaongea akiwa Katibu Mwenezi wa CCM.......Tutawashughulikia tu, hata kama mkichekacheka!!

Vijana wa CCM eti ni Nape na Mwigulu!! hahahahaa!!!

Tanzania Huru inakuja...

375px-Flag-map_of_Tanzania.svg.png
 
it is very interesting kwamba serikali inaweza kukilalamikia chama cha upinzani kwa kusaidiwa na other sources wakati wao wana uwezo wa kuzuia hata kabla hazijafika hapa TZ. Nape need to go back to class four, au ni miongoni mwa wale waliochaguliwa kwenda form one wakiwa hawajui kusoma, kuandika na hesabu nini?? JK, kuwa makini.
 
Mpambano ungekuwa mzuri sana kama Komu angepambanishwa na wa kaliba yake, muhazini wa ccm mwigulu nchemba, mngecheka mfe!!!!

manake mwingulu angekuwa mdogo kuliko piriton. hajui redio inaingiza bei gani! hajui wanachama wanaingiza kiasi gani kupitia ada za uanachama, hajui ni lini mahesabu ya chama chake yalikaguliwa kihasibu, yaani mngefurahi
big up KOMU.
 
Back
Top Bottom