a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,388
- 1,324
Lazima wapinge wataachaje kupinga wakati wao ndio wamepanga mgomo na wao ndio waliomteka Dk Ulimboka kumpiga na kumtesa kwa manufaa yao ya kisiasa
Sasa lazma wahofie uchunguzi huru ambao utawabainisha wao
Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza MAGAMBAGWANDA wakubwa nyie
Ni kweli GAMBA+GWANDA=GAMBAGWANDA/GwaMba.
Wanatufunga macho na masikio, kwa unyonge wetu wa kukosa uji. Tunashindwa kufikiri, tunafuata hisia zetu, hisia kutokana na shida zetu! Wanatuaminisha kutupa asali hali wao ni manyigu!
Mungu wetu yu hai, anaita sasa!