Chadema yapewa msada na christian democratic union.

Status
Not open for further replies.
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Hivi kuna chama chenye udini nchi hii kama CCM?! Hujasikia kuwa wamekubali mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba mpya!
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

Akili ni nywele.......
 
Hivi vyama vyetu vya siass si vinapewa ruzuku na serikali ili vijiendeshe? Sasa hii misaada toka kwa wakoloni ya nini?

Mkuu, ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni. Acha tusubiri ccm nyingne kwa jina la Chadema, madarakani 2015. Lakini sisi kama vijana, tutawajibika kwa hilo, kabla kizazi cha watoto wetu kupita. Baraka zenu kama wazee wetu na ziwe juu ya kuwafundisha ukweli wa mambo wale wasioona. Adui yetu sio ccm tu, ni ccm na vyama vyote vya siasa. Ila kwa sasa ni vigumu mno kueleweka na vijana, watakuita kila aina ya jina baya, ukiwafunulia ukweli wa mambo. TUPO TUNAONA, TUTAONA. HATUTOACHA BORA LIENDE, FURAHA YETU NI USAWA KWA WATANZANIA WOTE, USIPOKUWEPO HATA DAMU YETU NI UPUUZI! Mfumo mbovu wa siasa, ni mama wa maovu yote katika taifa. Zao la mfumo mbovu wa siasa, ni uozo. Demokrasia ni mfumo mbovu wa siasa, na kila kiongozi anayeamini humo, na kutokea humo, ni mbovu. HATUFAI!
Mungu wetu anaita!
 
CDM ni chama cha askofu leizer na malasusa

Wana akili sana hao maaskofu, yaani wameanzisha na chama!!! akina mwinyi wanasubiri hisani ya watu wa marekani waishie kupigwa kelbu hadharani!!!!!!!
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Huu nao ni upuuzi mwingine...una orodha ya waliopelekwa ujerumani??
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Unaweza kutuambia ni wapi hiyo kitu imeandikwa?
 
kwani kuna ubaya gani ...?

Uamsho kilivokuwa kinasemwa kinapeea misaada kutoka Oman, watu walifoka sana, mada tele zikawekwa, majungu kila kona, leo imetajwa Chadema imekuwa haina tatizo sio? Mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu au anye kuku akinya bata kahara!
 
jaman hapa mi naona mnaumizana vichwa tu.slaa ni mwenye asili ya kanisa unadhani ataomba msaada msikitini?
 
The CDU is Christian-based, applying the principles of Christian democracy and emphasising the "Christian understanding of humans and their responsibility toward God." CDU membership consists however of people adhering to a variety of religions as well as non-religious individuals.

Source: CIA fact-file on CDU
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

CDU inasupport CCM na CDM kwa taarifa zilizopo.
:A S 20:
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

mkigoma, kama CDU msingi wake ni kuwaunganisha wakristu duniani na kupambana na uislam, basi CCM ya 2012 ni chama cha kijamaa (socialist).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom