Chadema yapewa msada na christian democratic union.

Status
Not open for further replies.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
 
Haya tuambie chama chenu kilipokea msaada toka wapi wa kuendesha ugaidi na kuchoma makanisa na kuchoma moto shule zinazo milikiwa na makanisa au unafikiri hatujui dhamira yenu?
 
Hee hii habari bado ipo tu? Mbona ni ya uchochezi? Kijana ebu weka link au majina ya wanachadema walioenda huko kwa mafunzo!
 
Ewe Mwenzetu MkiGoma,

Kwa kweli ninakushukuru mno kwa kutuletea taarifa hii njema ya CHAMA CHETU CHA WALALAHOI kubarikiwa japo ka-msaada toka huko ulikokutaja weye.

Kimsingi, kwa kuwa CHADEMA ndio kama hivo tunakijenga ki-shida shida hivo hivo, si sawa na vile VYAMA MATAWI YA CCM nchini, kwa kweli bado tunaomba sana misaada iongezeke kwa faida ya walalahoi wa nchi hii kupata utetezi uliotukuka bila ubaguzi wa rangi wala wa kidini.

Hivyo, huko unakotembea wewe mwenzetu chonde kawaambie nao Budhist Democratic Union, kama wapo, nao wakatuletee misaada mingine maana ndani ya nchi hii kila kitu CCM kishatafuna na MAFISADI wake mahiri ile mbaya.

Mwenzetu, endapo utakutana hata na Hinduist Democratic Union popote pale walipo nao kawaambie kwamba CHADEMA chama cha Walalahoi wa nchi hii tunahitaji misaada yao kujenga wigo mpana na imara wa ki-demokrasia kwa wote ndani ya nchi hii.

Asante sana kwa kutuletea hiyo taarifa murua wa misaada kwetu; nilikua sijaipata bado.
 
CHADEMA sasa mnakomba kila aina ya misaada pasipo kujali itikadi ya mtoaji. Conservative nao misaada yao ikiambatana na masharti ya kushabikia ndoa za mashoga MNAKULA MISAADA YAO. Hiki chama cha CDM hakina nia nzuri na watanzania, msimamo wenu ni kuuza nchi yetu kwa gharama yeyote
 
Udini unaletwa na watawala wanao juwa ni kiasi gani wana tunyonya ili tusioji,madini,fetha za rada,tusioji,mikopo ya wamafunzi Ccm tumewashitukia imekula kwenu mazima
 
Hivi vyama vyetu vya siass si vinapewa ruzuku na serikali ili vijiendeshe? Sasa hii misaada toka kwa wakoloni ya nini?
 
Ewe Mwenzetu MkiGoma,

Kwa kweli ninakushukuru mno kwa kutuletea taarifa hii njema ya CHAMA CHETU CHA WALALAHOI kubarikiwa japo ka-msaada toka huko ulikokutaja weye.

Kimsingi, kwa kuwa CHADEMA ndio kama hivo tunakijenga ki-shida shida hivo hivo, si sawa na vile VYAMA MATAWI YA CCM nchini, kwa kweli bado tunaomba sana misaada iongezeke kwa faida ya walalahoi wa nchi hii kupata utetezi uliotukuka bila ubaguzi wa rangi wala wa kidini.

Hivyo, huko unakotembea wewe mwenzetu chonde kawaambie nao Budhist Democratic Union, kama wapo, nao wakatuletee misaada mingine maana ndani ya nchi hii kila kitu CCM kishatafuna na MAFISADI wake mahiri ile mbaya.

Mwenzetu, endapo utakutana hata na Hinduist Democratic Union popote pale walipo nao kawaambie kwamba CHADEMA chama cha Walalahoi wa nchi hii tunahitaji misaada yao kujenga wigo mpana na imara wa ki-demokrasia kwa wote ndani ya nchi hii.

Asante sana kwa kutuletea hiyo taarifa murua wa misaada kwetu; nilikua sijaipata bado.

"Kishida shida" huku Mwenyekiti anaenda mkutanoni na VX 8 sita!
 
Beneath the much lauded peace lies religious strife that could easily flare up into a wondrous flame. Tanzanians we must tread carefully.
 
naona UDINI na UCHAMA kwa pamoja hapa!...sijui bana,ila tuwe makini na haya majambo!
 
CHADEMA sasa mnakomba kila aina ya misaada pasipo kujali itikadi ya mtoaji. Conservative nao misaada yao ikiambatana na masharti ya kushabikia ndoa za mashoga MNAKULA MISAADA YAO. Hiki chama cha CDM hakina nia nzuri na watanzania, msimamo wenu ni kuuza nchi yetu kwa gharama yeyote
Hivi kuna mtu aliyeuza nchi kuliko Kikwete? Hujasikia wewe Mtanzania uliyezaliwa ndani ya nchi unaitwa mtu wa pembezoni? Mtu aliye ndani ya mduara wenye shamba kubwa na utajiri ni mzungu mwekezaji.
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

Habari yako haina source imeka kama wale madada poa wa ohio!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom