VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
hebu niambieni kama ninachukua kinywaji toka kwenye fridge na kujipongeza au naenda kulala:A S angry:
uhanzi mkuu sijakuchanganya ila hapa mpanda ndio tume wanachanganya watu mara waseme hiki mara kile,ila kwa uhakika kabisa mpaka sasa hawajatangaza matokeo rasmi ila pale mwanzo mambo yote yalikua tayar,nafatilia kwamakini usilale nitakupa kila kinachoendelea,nipo nje yamakao makuu yatume yajimbo,nafatilitia kwa karibu sana
sina data jamani,laleni salama
:smile-big: mwenzio hii bia ya tatu, we kunywa zako wala usilalehebu niambieni kama ninachukua kinywaji toka kwenye fridge na kujipongeza au naenda kulala:A S angry:
Kama habari ninazozisikia ni sahihi basi Arfi ameshinda kwa zaidi ya kura 3000 na dakika yoyote atatangazwa mshindi.. mamia ya watu wameanza kusherehekea...
hakuna matokeo rasmi mpakasasa,na mdahuu kunamvua kubwa sanasana inanyesha sina hata pakujibanza narowana namvua,na police nao wanaanza kuharas watu ili watawanyike wamtangaze mgombea wao wa ccm,ila peoples power imesimama imara,hawaogopi lolote, mvua wala police.Mwera kuna sehemu huko nimesoma jamaa anasema CCM ndo ameshinda, si inamaana yeye kapata taarifa rasmi za tume ya uchaguzi? du silali kaka wewe tupashe hata kama ni habari mbaya
hakuna matokeo rasmi mpakasasa,na mdahuu kunamvua kubwa sanasana inanyesha sina hata pakujibanza narowana namvua,na police nao wanaanza kuharas watu ili watawanyike wamtangaze mgombea wao wa ccm,ila peoples power imesimama imara,hawaogopi lolote, mvua wala police.
Omunga ziko sawa kweli wewe???sina data jamani,laleni salama
watu hapa wako ngangari kinoma hatuondoki mpaka kieleweke,ila kwahakika inaonekama kuna power kubwasana inatumika hapa mambo yabadilishwe,wanachakachua nakuna fununu kuwa mzeepinda yupo kwasiri ili akamilishe kazi,mpaka jion inasemekana alikua dodoma ila sasa naskia yupo wanafos wamtangaze mtu wao wa ccm.kaka poleni lakini kuna habari nyingi mno mpaka zinatisha, asante kwa kulinda kura zetu, sisi kawe tulilinda siku mbili msichoke usiku mmoja tu! tuko pamoja
Nilijua mtarudia uzembe uleule wa kusubiri kujumlishiwa.uhanzi mkuu sijakuchanganya ila hapa mpanda ndio tume wanachanganya watu mara waseme hiki mara kile,ila kwa uhakika kabisa mpaka sasa hawajatangaza matokeo rasmi ila pale mwanzo mambo yote yalikua tayar,nafatilia kwamakini usilale nitakupa kila kinachoendelea,nipo nje yamakao makuu yatume yajimbo,nafatilitia kwa karibu sana
Asante sana mwanakijiji, hujui ni kiasi gani nateseka kusuburi matokeo haya, asante kwani umekuwa more concrete kwa kuja na data hizo, kama utaendelea kupata update please keep on posting. You are the reason I am still awakeHuku mvua ikinyesha na wananchi zaidi ya elfu mbili wakiwa wanasubiri nje ya majengo ya ofisi ya Mkurugenzi na baada ya marudio ya kujumlisha kura zote kufanyika, Mgombea wa Chadema Bw. Arfi anaonekana kushinda kwa kiasi hicho cha kura na wakati huo huo mgombea wa CCM ameondoka humo ndani akikataa kutia sahihi kukubali matokeo.
Wananchi wanazidi kuelekea hapo wakitia msisitizo kuwa matokeo yatangazwe, Arfi yuko ndani, na wakati wowote Mkurugenzi ameahidi kutangaza. Kwa sasa habari ndiyo na nimezungumza na sources ndani kabisa ya mchakato wa kuhesabu kura na nje ya watu wa Chadema...