CHADEMA yang'ara Morogoro

Kwa hali ya maisha ilivyongumu huku mtaani sidhani kwamba kuna mtu mwenye akili timam anaweza kupigia kura CCM
 
Hahaaa Aibu yao, nifikishieni pole zangu huko Lumumba nimeshindwa kwenda kuhani msiba huo ila tupo pamoja wakati huu mgumu.
 
Yaani tatizo la Magu anadhani wananchi wataipigia CCM kura kutokana na kauli zake za kibabe na za kutozingatia sheria za nchi, kama ile aliyoitoa jana kwenye mkutano Mkuu wa CCM, aliposema kuwa kama angelikuwa yeye ndiye Mwenyekiti kipindi kile cha uchaguzi mwaka jana wakati wajumbe wa NEC walipokuwa wakiimba tuna imani na Lowassa, yeye 'angewapoteza' zaidi ya nusu ya wale wajumbe!

Kwa namna JPM anavyoendeleza vitisho na ubabe kwenye utawala wake ndivyo wananchi wanavyozidi kuwa na chuki na utawala wake kuelekea kwenye chaguzi zijazo kwa kuwa nchi haiendeshwi kwa 'mikwara' bali inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya nchi.
Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.

Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..

Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
 
Ahahaha tumewapiga kwenye mitaa,tumewapiga kwenye vijiji,tutawapiga kwenye majimbo,acha waisome namba Weeeh
 
...Chadema kama haipo,ila uchaguzi ukija, mtu mzima anakula za uso kimyakimya!
 
Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.

Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..

Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
Ushindi utawezeshwa siyo?
 
....nakuona unaandika huku unalia mtu mzima!, ishukuruni sana ile tume ya "CCM" ya uchaguzi!

kama uwanja ungekuwa fair,haya machozi ungeyatoa toka mwaka jana!
 
....wale wajumbe wa kamati kuu wakishaamka na yale ma-hangover ya jana wanakutana na hii!:D:D:D:D
 
Wataalamu wa hallucination
Naona mnaendelea na kupuliza puli kama kawaida yenu iwape stimu za kujitekenya...

Anyway.. One thing inachowasaidia ni kuwajaza matumaini hata yasiyowezekana..
kwa hiyo wewe huoni kwamba CCM kushindwa huu uchaguzi mdogo ni dalili mbaya? kati ya wewe na ntoa mada nani anawajaza watu matumaini?
 
Mbona kuko kimya sana ina maana wale vijana walishaachana jf?

japo siipendi ccm na magufuli wake jana kanifurahisha.... kawapa uvccm. uwt ya sofia simba na uyu burembo makavu live kuwa jumuiya zao atazifuta kwan ni kujipa nyadhifa bila kuwa na umuhimu wowote.... ni muda tu zitafutwa na happ 2020 ndo wataijua kuwa chadema inamaanisha kt harakati zake
 
kwa hiyo wewe huoni kwamba CCM kushindwa huu uchaguzi mdogo ni dalili mbaya? kati ya wewe na ntoa mada nani anawajaza watu matumaini?
Kwani vipi ninyi hamukuona kushindwa kwenye uchaguzi mkuu Oct 25 ni dalili mbaya iliyowatoa kabisa katika reli??

Kajipange alafu urudi tena..
 
Back
Top Bottom