CHADEMA yamtelekeza mbunge aliyemvua hijabu mkuu wa wilaya(hii ndo chadema zaidi ya huijuavyo)

Siwezi shangaa sredi hii ikiwa imerushwa na mwana magamba hata uongo kutunga mnachemka angalia tarehe hiyo duh kweli mmethubutu na mmeweza kuwaburuza watanzania kwa kijinga.
 
Mkuu angalia hapo kwenye red. Hivi leo ni tarehe ngapi?
mwongo utamjua tu!anaota huyu!anataka kutwambia kuwa yeye ni msemaji wa huyu mbunge. Si kuna taratibu za chama za kufanywa na mbunge ili apate haki yake!
 
Siwezi shangaa sredi hii ikiwa imerushwa na mwana magamba hata uongo kutunga mnachemka angalia tarehi hiyo duh kweli mmethubutu na mmeweza kuwaburuza watanzania kwa kijinga.

Usidanganye watu
 
Kwanza karibu sana JF. Naona hii ni post yako ya 3.

unajua kama kuna watu huwa nawaheshimu sana humu ni ww,

kimekupata nini?

ebu jibu hoja mkuu......

unajua kuwa blind follower hakuisaidii chadema, kama wewe ni CDM go confirm this na kama ni uongo njoo na hoja ya kuwa kasema uongo...otherwise ulichojibu na una choki-support
ni non sense!!
 
mwongo utamjua tu!anaota huyu!anataka kutwambia kuwa yeye ni msemaji wa huyu mbunge. Si kuna taratibu za chama za kufanywa na mbunge ili apate haki yake!

Ukweli umeshadhihirika, Chadema ni Chama cha Demu Maarufu.
 
nimesikitishwa sana na ubaguzi uliopo ndani ya chadema,hivi karibuni ktk harakati za chadema kuhakikisha kuwa wanashinda uchaguzi igunga, mbunge wa viti maalumu na wenzake walimdharilisha kwa kumvua hijabu mkuu wa wilaya igunga kwa kuhisi alikuwa anapigia kampeni ccm.mbunge huyo susan kiwanga amefikishwa mahakamani na wenzake kwa kosa hilo, mbunge huyo alikuwa akilalamika hayo muda mfupi kabla ya kuanza semina ya viongozi wa cdm tarehe 7/12/2011 mjini morogoro ktk ukumbi wa BZ hotel, namnukuu "nimetoka tabora kwenye kesi hivyo sikupata haya mafunzo, kesi yenyewe chama kimeniachia mwenyewe.. na hata wakili anayenitetea ni wa kujitolea na ni mzee sana hivyo huwa muda mrefu huwa anasinzia mahakamani kwa hiyo mambo ni magumu kwangu kwa upande wa kesi, unajua sisi wabunge ambao hatutoki kaskazini hatuthaminiwi kabisa ndani ya chama japokuwa mimi nilijitolea kuzunguka nchi nzima ktk kampeni za urais na slaa" . hata hivyo kuonyesha kukata tamaa kwa mbunge huyo hata alivyoingia ndani ya ukumbi wakati wa kujitambulisha alisema "huwezi kuwa kiongozi bila kufungwa" susan aliponda sana mfumo wa chama kuwajali hasa wabunge wa kichaga kama lema, kiwia ambaye ndiye alikuwa mkufunzi siku hiyo.

mkuu do you have more proof regarding this? umesikia kwa mtu au?

ninachofahamu ni kuwa kesi inaendelea na kulikuwa na possibility ya kumalizana hasa kama mkuu wa wilaya angekuwa positive, sijajua ilifikia wapi
 
unajua kama kuna watu huwa nawaheshimu sana humu ni ww,

kimekupata nini?

ebu jibu hoja mkuu......

unajua kuwa blind follower hakuisaidii chadema, kama wewe ni CDM go confirm this na kama ni uongo njoo na hoja ya kuwa kasema uongo...otherwise ulichojibu na una choki-support
ni non sense!!

Acha kutokwa povu babu mwongo wenu kachemka kutuaminisha soma tarehe na leo tar.ngapi?
 
Acheni undondo mtu kama katuma post 3 au 1 iyo siyo mada ,wewe hata kama umeingia jf miaka ya nyuma kama akili yako mbovu ni mbovu tu jf haingezi sana uwezo wako wa kufikiri cha muhimu kama kuna mtu anaweza kujibu tuhuma azijibu tuache bla bla
 
unajua kama kuna watu huwa nawaheshimu sana humu ni ww,

kimekupata nini?

ebu jibu hoja mkuu......

unajua kuwa blind follower hakuisaidii chadema, kama wewe ni CDM go confirm this na kama ni uongo njoo na hoja ya kuwa kasema uongo...otherwise ulichojibu na una choki-support
ni non sense!!
Si kila thread inayopositiwa ina hoja zingine ni upupu mtupu, hebu tuambie mtu uanze kuchangia kitu hujui source yake isitoshe ni mkutano wa tarehe 17/12/2011 kutetea thread hiyo hata wewe zitakuwa zinakutosha kweli?
 
Acheni undondo mtu kama katuma post 3 au 1 iyo siyo mada ,wewe hata kama umeingia jf miaka ya nyuma kama akili yako mbovu ni mbovu tu jf haiongezi sana uwezo wako wa kufikiri cha muhimu kama kuna mtu anaweza kujibu tuhuma azijibu tuache bla bla
 
Si kila thread inayopositiwa ina hoja zingine ni upupu mtupu, hebu tuambie mtu uanze kuchangia kitu hujui source yake isitoshe ni mkutano wa tarehe 17/12/2011 kutetea thread hiyo hata wewe zitakuwa zinakutosha kweli?

je habari hizi hazina ukweli wowote mr empty head?
 
Mkuu suzan ni jembe ndani ya chadema. si mtu wa kulalamika ovyo. Chama kinamjali ndo maana kikamuwekea dhamana. sylivester na suzan kesi yao moja na anaye isimamia ni Tundu Lissu. Kumbuka siku ya kwanza Lissu aliwauliza walalmikaji mpo tayari tuanze kesi? Polisi wakasema bado upelelezi haujakamilika. je upelelezi umekamilika?
 
nimesikitishwa sana na ubaguzi uliopo ndani ya chadema,hivi karibuni ktk harakati za chadema kuhakikisha kuwa wanashinda uchaguzi igunga, mbunge wa viti maalumu na wenzake walimdharilisha kwa kumvua hijabu mkuu wa wilaya igunga kwa kuhisi alikuwa anapigia kampeni ccm.mbunge huyo susan kiwanga amefikishwa mahakamani na wenzake kwa kosa hilo, mbunge huyo alikuwa akilalamika hayo muda mfupi kabla ya kuanza semina ya viongozi wa cdm tarehe 7/12/2011 mjini morogoro ktk ukumbi wa BZ hotel, namnukuu "nimetoka tabora kwenye kesi hivyo sikupata haya mafunzo, kesi yenyewe chama kimeniachia mwenyewe.. na hata wakili anayenitetea ni wa kujitolea na ni mzee sana hivyo huwa muda mrefu huwa anasinzia mahakamani kwa hiyo mambo ni magumu kwangu kwa upande wa kesi, unajua sisi wabunge ambao hatutoki kaskazini hatuthaminiwi kabisa ndani ya chama japokuwa mimi nilijitolea kuzunguka nchi nzima ktk kampeni za urais na slaa" . hata hivyo kuonyesha kukata tamaa kwa mbunge huyo hata alivyoingia ndani ya ukumbi wakati wa kujitambulisha alisema "huwezi kuwa kiongozi bila kufungwa" susan aliponda sana mfumo wa chama kuwajali hasa wabunge wa kichaga kama lema, kiwia ambaye ndiye alikuwa mkufunzi siku hiyo.

Nawaachia wafuatao watoe comments maana ndio wanapenda threads zenye mawazo majitaka kama haya;
  1. Ritz
  2. Njiwa
  3. Faizafoxy
  4. Rejao
  5. Malaria sugu
  6. Korosho nk
Neno langu moja....karibu JF ila kajifunze namna ya kuongea hapa kwenye JUKWAA la watu makini...stori za facebook na Twitter huko huko....
 
Mkuu suzan ni jembe ndani ya chadema. si mtu wa kulalamika ovyo. Chama kinamjali ndo maana kikamuwekea dhamana. sylivester na suzan kesi yao moja na anaye isimamia ni Tundu Lissu. Kumbuka siku ya kwanza Lissu aliwauliza walalmikaji mpo tayari tuanze kesi? Polisi wakasema bado upelelezi haujakamilika. je upelelezi umekamilika?

dubu nakupa hi! kama kesi anaisimamia Tundu, basi police-mamba wanakuna vichwa kukamilisha upelezi wa kungaunga
 
unajua kama kuna watu huwa nawaheshimu sana humu ni ww,

kimekupata nini?

ebu jibu hoja mkuu......

unajua kuwa blind follower hakuisaidii chadema, kama wewe ni CDM go confirm this na kama ni uongo njoo na hoja ya kuwa kasema uongo...otherwise ulichojibu na una choki-support
ni non sense!!

Unajua wakati mwingine tuwe wazi na tutetee vitu kisomi...hii thread iliyoletwa haina mashiko,na haiaminiki hata kidogo..kesi ya Kiwanga na sylivester ni moja na chama kilikwisha wawekea wakili ambaye ni Tundu Lissu..Anapokuja mtu akaweka taarifa ya kikao cha tarehe ambayo hata hatujafika lazima uwe na shaka na uwezo wake wa kudanganya..na alipogundua hilo ameenda kubadili ili ifanane na mazingira ya uongo wake...huu ni upuuzi ambao unafaa kutetewa na watu wa magamba chini ya faizafoxy na Mwita25...
 
Back
Top Bottom