CHADEMA yalitikisa Bunge Hotuba ya Lissu yawa ‘mwiba’

Unaleta gazeti la udaku la chadema, bila kutaja hatua zilizochukuliwa? imetikisa nini sasa hiyo hotuba zaidi ya kuwatukana majaji? angoje kimbembe cha kamati ya maadili.

system at work. CCM at work
 
Sasa kuwaambia wanaoteuliwa "hawana uwezo", hayo kikwenu sio matusi? Ndugu yangu hata "kichwa chako" inaweza ikawa ni tusi itategemea na matamshi. Hata "mamako" inaweza ikawa ni tusi inategemea na matamshi. Tusijidai kuwa hatuelewi Kiswahili.

Ukosefu wa maadili ni ukosefu wa maadili, mtu akifanya zinaa ni zinaa tu haiwezekani isiwe zinaa kwa kuwa eti nafanya na mchumba. Tuwe makini.

Ukweli unauma!!! Ni ukweli usiopingika teuzi nyingi zinafanywa kisiasa; wana-CCM ndio wanaopewa nafasi nyingi za uteuzi. Tukianzia na wakuu wa wilaya na mikoa, Ma-DED, Wakurugenzi wa mamlaka mbalimbali za serikali, wakuu wa idara, wakuu wa vyombo vya usalama.
 
Kakimbize mwenge, bwana huna mpya....mawazo yako mgando...mufilisi...na mwisho mabwepande ndo kimbilio lenu ..big up
 
Mkumbuke kauli ya Jk alipokua Jimboni kwa Mh Lissu 2010 katika kipindi cha Campaign na hakika ndivyo Lissu anavyowaburuza bungeni kwa sasa,hongera sana walaMh Lissu endelea kumfundisha AG na wabunge wote wa CcM sheria zilivyo
 
Back
Top Bottom