CHADEMA yalipuliwa

Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu.

Pia amefananisha maneno yanayotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini Uganda.

Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na Wandishi wa habari Ukumbi wa Traventine, Mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa Viongozi wa CHADEMA kujifanya ni wapambanaji wa Ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema Mtikila.

Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya Viongozi wa Chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni Ufisadi. Kutokana na hali hiyo Mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa Viongozi wawili wa chama hicho Philemon Ndesamburo na Freeman Mbowe.

Mtikila alihoji na kubeza hatua ya CCM kujivua gamba akisema CCM ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli CCM wanataka kupambana na Ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!

Mbona una-cherry pick habari?Katika mkutano huo Mtikila alitumia sehemu kubwa kuelezea namna Rais Kikwete alivyotumia vibaya nafasi yake kumwezesha mwanaye Ridhiwani kuwa bilionea wa kutupa.

Ila kwa vile una makengeza ya ubongo,umesikia habari za Chadema tu!
 
Mtikila alikuja na kauli mbiu ya ugabachori,nyumba yake ya mikocheni ikatangazwa kuuzwa na NBC kutokana na deni alilokua akidaiwa.Wahindi wakamlipia deni tangu hapo sijamsikia tena neno gabachori mdomoni mwake!yani yeye ni pesa tuu umemmaliza
 
mwenyekiti wa chama cha dp,mchungaji christopher mtikila amesema chadema hakipaswi kuaminiwa na watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na wafanyabiashara haramu.

Pia amefananisha maneno yanayotolewa na katibu mkuu wa chadema dr wilbroad slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini uganda.

Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na wandishi wa habari ukumbi wa traventine, mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa viongozi wa chadema kujifanya ni wapambanaji wa ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha mwanasiasa chacha wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema mtikila.

Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya viongozi wa chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni ufisadi. Kutokana na hali hiyo mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa viongozi wawili wa chama hicho philemon ndesamburo na freeman mbowe.

Mtikila alihoji na kubeza hatua ya ccm kujivua gamba akisema ccm ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli ccm wanataka kupambana na ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!

nimekuwa nikifuatilia topic zako na kugundua kuwa hazina tofauti na pumba za makamba na magamba yote ya ccm. Wewe umeona tu ni chadema imelipuliwa -lakini alivyolipuliwa mwenyekiti wa ccm , ridhiwan na ccm kwa ujumla haujaona? Kama ni kulipua basi mtikila kalipua ccm wanaodai wanavua magamba wakati ugonjwa wao ni satatani. Mtikila kaweka wazi kwamba ccm inakufa tena inakufa kama mtu aliyefumaniwa. Wewe mlengo wa kati unafiki wako hautaisadia hata siku moja taifa hili. Tusiandikie macho katika aliyongoa mtuikila tutaona lipi ni sahihi-ccm itaweza kumvua mapacha watatu? Matokeo ya kesi ya mtikila mahakamani-mbowe and ndesa ni wafanyabiashara sio mafisadi kama wezi waliojaa ccm. Acha unafiki na topic zako
 
Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
kwani hawa jamaa wa cdm wana maana hawataki kuambiwa ukweli na bado mambo makubwa yatakuja hiki chama ni cha wanafiki leo hii mapacha watatu wamelukuwa ndugu moja na gazeti la tanzania daima
 
Duh Mtikila kapokea tena mshiko toka kwa Jeetu Patel? au safari hii kapata mfadhiri mwingine...
 
Mbona una-cherry pick habari?Katika mkutano huo Mtikila alitumia sehemu kubwa kuelezea namna Rais Kikwete alivyotumia vibaya nafasi yake kumwezesha mwanaye Ridhiwani kuwa bilionea wa kutupa.

Ila kwa vile una makengeza ya ubongo,umesikia habari za Chadema tu!

Aliongea kuhusu chadema na CCM na thread ina habari za CDM na CCM kwa pamoja aliyo yasema Mtikila! Au hutaki mambo ya CDM yasiguswe kabisa? Acha uoga wewe hii tabia ya CDM kuogopa kusemwa ina ashiria hamjiamini na kama mkija shika nchi mtafunga watu midomo kabisa!
 
Mti kilaza bana baada ya kutosikika muda mrefu,ameamua kuja na mpya tehe tehee!!ndio maana alipigwa mawe Tarime sababu ya porojozake.
 
Hivi zile hela ambazo Mtikila alipewa na Rostam ameshazirudisha?

Mbona alipokea pesa kutoka kwa mafisadi wa CCM Rostam Aziz, na leo anapotoa kauli hii ni ushahidi ameshapokea rushwa kutoka CCM.
Mtikila kinara wa rushwa
 
Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu.

Pia amefananisha maneno yanayotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini Uganda.

Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na Wandishi wa habari Ukumbi wa Traventine, Mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa Viongozi wa CHADEMA kujifanya ni wapambanaji wa Ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema Mtikila.

Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya Viongozi wa Chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni Ufisadi. Kutokana na hali hiyo Mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa Viongozi wawili wa chama hicho Philemon Ndesamburo na Freeman Mbowe.

Mtikila alihoji na kubeza hatua ya CCM kujivua gamba akisema CCM ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli CCM wanataka kupambana na Ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!

Uzuri mahakamani lazima utoe ushaidi. Tunasubiri kuona ushaidi wake mahakamani na hapo mbichi na mbivu itajulikana!
 
Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui

Nadhani hili lilisemwa Tabora na DR. Slaa, Rev. Mtikila kadandia tu hapo!
 
Mtikila he is only opportunistic and political idiot like Mrema lyatonga and Zitto Kabwe ..................free advise, Mtikila please keep quit your 1992 political legacy will remain .......
 
Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
Tuliza akili zako kwanza ndugu yangu:- Ridhiwani Kikwete tajiri mkubwa - hiyo ni ishu separate, - utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wangwe (RIP) nayo ni ishu ingine ingawa mzungumzaji ni huyohuyo. Haihitaji uwe na digirii ili upambanue na sio lazima kwa kuwa umeunga mkono hoja ya Riz1 basi na ile ya CW uikubali eti kwa kuwa anayesema vile ni yuleyule. Wake up man, this is home of great thinkers!
 
Huyu Mtikila ni miongoni mwa wapuuzi wengi tuu kwenye nchi yangu, kwanza yeye hatupendi kabisa sisi waislamu na ni kinyonga, sijui hapa yeye kapewa pesa na nani mbona anawatetea wagalatia tuu kuwa ndio wasafi ndani ya CCM? KWANI aliwataja Sumaye, Warioba etc mbaona hakumtaja Salim, Mwinyi etc ni mshenzi tuu wa kupuuzwa huyu hapa kuna jambo anataka kutuaminisha ili tumuone naye ni msafi,

Arudishe fedha za Muislamu mwenzetu Rostam tukajenge madrasa kwa ajili ya Allah, kwanza ndipo asikilizwe.

Kweli shughuli ni watu, na imepata watu wenyewe!
Sasa ufisadi na Uislamu wapi na wapi? Who told you that Rostam Aziz is a Muslim? Au kwa kuwa ni Mwarabu?
 
Back
Top Bottom