Chadema yalipua mawaziri wawili

Kumradhi.

Hii nisawa na lile tusi la rejareja ambalo wanasiasa wengi wa Tanzania wamekua wakitutukana wananchi kwamba "Wananchi tumekalia uchumi".

Duniani kuna wanaume kibao wanaishi maisha ya Kichoko. katika maana kwamba huuza miili yao kwa wanaume wengine na kujiingizia kipato.

Ni kweli pia kwamba wako wanaume wengi ambao huishi katika maisha ya ufukara huku wakiwa na 90% ya sifa zote ambazo wanaume choko wanazo isipokuwa nia ya kuuza miili yao kwa wanaume wenzao.
Kwa vile tu mwanaume rijari unashidwa kujikimu na kuna njemba hapo karibu anakukonyeza na kukuzengea na yuko tayari kutatua matatizo yako ya kiuchumi kama tu uko radhi kukata nae mtaa na kupoozaa kiu yake chafu, basi unaacha heshima yako yote na enzi yako na kujirahisi kwake??

Kumradhi tena.
Dowans ni sawa na Basha.
Dowans ni Fisi aliyeweka chambo chake pale Ubungo ili tuiingie kwenye 18 zake atubararue.

Kwa nini kila siku tunataka kutatua matatatizo yetu kwa njia zionekanazo rahisi lakini zilizo jaa mashaka?

Utajiri ni kujaza fedha mifukoni mwetu au ni kuwa na nchi ilojaa huduma bora na yenye mazingira yanyoruhusu ukuaji wa uchumi na maendeleo?

Ni lini kwetu kutakuwa kuzuri kama kwao?

Ni nani atakaye fanya kwetu kuwe kuzuri kama kwao?


Neno sahihi ni ASHAKUM sio Kumradhi.

Ashakum maneno si matusi.
Sio hao choko wote huenda kwa mabasha kwa shida, wengine hiyo ni raha kwao na wao wakalipia hiyo huduma. Ninachohofia ni kiasi gani tutaweza kustahamili Kiza, tusije kwenda kwa Mabasha shingo upande tukakosa ile raha ambayo tungeipata kama tungekwenda kwa hiari yetu.
Hii kuwafuata mabasha kwa shida ndiko kuliko tufanya tubikiriwe kavukavu na Richmond. Sifikiri kuwa tutakuwa radhi kukaa giza eti kwa ari, hilo hatuna.
Hapo tutakapokaa giza na Bunge likawa haliendi na kuwakosesha 135,000 kwa siku ni haohao watakaotumia dharura na kupoteza mabilioni ya pesa za walipa kodi. Vigogo ndio wenye makampuni na vitega uchumi, unafikiri watakubali wapate hasara? Sisi ni wapiga kelele na tunaotumiwa kwa manufaa ya vigogo sasa sijui kama uko tayari mwanao atumie mshumaa huku kwa Sitta akinunuliwa Generator kwa fedha za walipa kodi?
Naona hii ngoma ina wenyewe na hao panga pangua hawatoathirika kama mimi na wewe kutakapokuja giza.,
 


[*]Huu ni wakati wa kuingia mitaani kulazimishia haki yetu. Watanzania wameshasikia maovu ya CCM na wanasubiri tu uongozi imara ili kuwang'oa.
[/LIST]

Kama akina Dr. Slaa, Mbowe, Zitto n.k. hamyawezi haya ya NGANGARI, basi tufahamisheni tujue moja, maana CCM hawatang'atuka hata siku moja kwa kelele za mlango tu.

Kwa sera hizo ni wazi CHADEMA sio mahala pako lakini naamini CUF ndipo patakuwa muafaka kwako maana wao ndio wana SERA/KAULI MBIU ya NGANGARI.

Huo ndio utamu wa siasa za ushindani wa vyama vingi.

omarilyas
 
Nilimsikia L.K Masha juzi TBC akisema kuwa kauli ya kusema yeye awajibike ni ya kisiasa kwani mapigano hayo ya koo yamekuwapo huko hata kabla yeye hajazaliwa,and I asked myself how dare he still in that office??
 
Nilimsikia L.K Masha juzi TBC akisema kuwa kauli ya kusema yeye awajibike ni ya kisiasa kwani mapigano hayo ya koo yamekuwapo huko hata kabla yeye hajazaliwa,and I asked myself how dare he still in that office??


kuna Msemo wa michuzi wa bongo tambarare, kweli bongo ni tambarare.
hiyo kauli na utendaji ni made in tanzania only. kazi kweli
 
Chadema mnatuchanganya.....sasa tutakiamini chama gani kama mnagombana kweli mtaweza kuongoza nchikama nyie tu mko 20 hivi mnagombania vijiruzuku ivyo??shame on u chadema....make kimya muuwaache isadis wapete tu kama bado hamjajipanga .....mnatia aibu.
Chama gani hawasafishi chama? Hata Democratic US walisafisha chama kabla ya kufika walipo! Unashangaa nini? au na wewe ni kati ya wale wale 15?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom