CHADEMA yaleta AMANI MBEYA baada ya risasi na Mabomu kushindwa

Mpelekeni na Arusha akalete amani.

amani ya Arusha hailetwi kwa mabomu. Amani ya Arusha italetwa na Lema kama mtaacha kumnyanyasa. Mwambie huyo mpumbavu wenu aliyetumwa kuingilia kazi za mahakama aache hiyo tabia mara moja, vinginevyo mkoa huu utamshinda.
 
attachment.php
 
Nafikiri busara kama hizi zitumike kuzimisha kila vurugu zinapotokea kwa kuwashirikisha wapinzani na watu mashuhuri. Nchi hii ni yetu wote, hakuna udhaifu wowote utakaoonyeshwa na serikali kama wapinzani na watiu mashuhuri wengine (viongozi wa dini, wana muziki etc) watahusishwa kutuliza vurugu. Nakumbuka wakati fulani huko Temeke ukimsimamisha Sheikh Mtopea wa NCCR watu wote kimya wanamsuikiliza.Bravo uongozi wa Mbeya kwa kuliwaza na kulitenda hilo kama kweli ni wazo lenu original aui mmedandia baada ya SUGU kuanza kutuliza mambo!!!!
Sawa, lakini kwa hali ilivyo sasa si Kingunge wala Malecela anayeza kusikilizwa,
 
Magwanda bana, zamu ya sugu sasa. Hivi nyie mnafikiri hizi siasa za sifa zitawafikisha kokote kweli? Mgoje zamu ya wenje. Tanzania kweli tumekwisha, yani leo hii kuna watu na akili zao wanamuona mr.2 aka 2 PLOUD aka sugu aka muheshimiwa aka mbilinyi aka supestar aka kamanda ndio mwanasiasa.
 
Dawa Yenu inakuja! Kijiti cha rivasi! kama Gadafi!
 
Dawa Yenu inakuja! Kijiti cha rivasi! kama Gadafi!
Haya ya gadafi si yameshatokea huko Arusha, au hukusikia kiongozi wenu alikua amejificha wapi? Ashukuru mungu walio mtoa kwenye sanduku walikuwa polisi, ingekuwa vijana wa Green basi angepata hicho kijiti.
 
Magwanda bana, zamu ya sugu sasa. Hivi nyie mnafikiri hizi siasa za sifa zitawafikisha kokote kweli? Mgoje zamu ya wenje. Tanzania kweli tumekwisha, yani leo hii kuna watu na akili zao wanamuona mr.2 aka 2 PLOUD aka sugu aka muheshimiwa aka mbilinyi aka supestar aka kamanda ndio mwanasiasa.

mwanasiasa ni mkwr aka vasco da gama aka dr dr dr dr.... Pamoja na mzee wa carolite..
 
Kwakweli nilipoangalia ya Mbeya, natamani show ya Arusha irudiwe!
Ila nadhani tunairudia soon.

Siku mbili hazifiki, nafikiri wale polisi wenye nia njema waanze sasa kuomba ruhusa kwa kusingizia magonjwa, nk maana moto unakuja sasa
 
Magwanda bana, zamu ya sugu sasa. Hivi nyie mnafikiri hizi siasa za sifa zitawafikisha kokote kweli? Mgoje zamu ya wenje. Tanzania kweli tumekwisha, yani leo hii kuna watu na akili zao wanamuona mr.2 aka 2 PLOUD aka sugu aka muheshimiwa aka mbilinyi aka supestar aka kamanda ndio mwanasiasa.

Jamani yule shoga mmjawapo ya waliokuwa wanaandamana kudai haki za mashoga amerudi! Mmeona andishi lake hapa? Tatizo la kuchangia mada ukiwa umefunga nepi hili.
 
Ahsanteni wanambeya kwa kurudisha amani katika katika jiji lenu na kwa kuiunga mkono harakati hizi za kutafuta haki katika Taifa letu.
 
CDM ndiyo chama kilichoshinda uchaguzi lakini ccm ndiyo chama kilchoapishwa kuwa kimeshinda, na ndiyo maana nchi inayumba, watu hawako tayari kuongozwa na ccm. mifano inaonekana kila kona ya nchi.
 
Magwanda bana, zamu ya sugu sasa. Hivi nyie mnafikiri hizi siasa za sifa zitawafikisha kokote kweli? Mgoje zamu ya wenje. Tanzania kweli tumekwisha, yani leo hii kuna watu na akili zao wanamuona mr.2 aka 2 PLOUD aka sugu aka muheshimiwa aka mbilinyi aka supestar aka kamanda ndio mwanasiasa.

Kaka ndio ujue kwamba waliopo CCM wamechoka akili, maalifa, na wamewanyonya wananchi mpaka wanaona watu wa aina ya Sugu ni mbadala kwao! Ni swali zuri la kujiuliza huko chamani kwenu!
 
hivi huu mkutano ulikuwa na kibari cha geshi ra porisi maana mbeya ilikuwa haina amani na ilikuwa rahisi kwa elshabab kuvamia hapo. ikumbukwe rigeshi ra porishi ririzuia mikutano yote Itakayoendeshwa na viongozi na wanachama wa Chadema imekuweje Kamanda sugu afanye mkutano na wananchi bila rikibari ra geshi ra porisi WHY why why whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy? ukipata majibu ya Why basi utaishia kwa tamati ya kuwa CCM na PoliCCM wanafikiri kwa masaburiiii na policcm hawawezi kuleta amani ila sera nzuri, Haki na utu.

Thanks Sugu Thanks CHADEMA Kwa kuwapa somo CCM na kuwaonyesha kuwa matatizo ya watu hayatatuliwi kwa Bunduki au mabomu ila kwa uongozi bora ambao unafikiria kwanza nini kifanyike kabla ya kufanya. Ahsante kwa kuacha posho Dodoma na kwenda Mbeya kwa ajili ya wapiga kura wako hapo umeonyesha utu wa mtu na maisha yake ni muhimu kuliko mali ambapo chama twawala wanafanya kinyume

Thanks alot Sugu thanks kwa kuokoa maisha ya ndugu zetu wa mbeya na kufanikiwa kuleta amani kwa kufanya kile ambacho kiongozi anapaswa kufanya

bado nina imani na wewe na sasa naamini kuwa sikupoteza kura yangu kwako na kwa Slaa although magamba yalishinda urais thxsmch
 
Kwa wafuatiliaji wa michezo. Wakati ule timu ya Taifa ya Togo iliposhambuliwa wakielekea kwenye 'world cup' kapteni wao 'Adebayor' alisema namnukuu "MWAFRIKA HANA THAMANI AFRIKA". Hivi kulikuwa na haja gani kusubiri fujo na uharibifu ufikie kiwango hicho? Hivi hakuna watanzania wanaoweza ku-predict reaction ya wananchi kwenye maamuzi yahayohusu maisha yao!!? Au ndo imebakia "tufanye tulichoamua na waki-react tunawapiga mpaka watulie". KAZI IPO
 
HATA MTOTO AKIWA NA HASIRA HUMSIKILIZA MAMA YAKE TU,WAMSIKILIZE KANDORO WALIMCHAGUA?alikataliwa KALENGA sembuse Mby?Cha kuchaguliwa si sawa na cha kuchagua.
 
Back
Top Bottom