GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Kwa hiyo wasiwasi wako ni upi.
Inabidi rais avae na gloves wakati anasalimia na nyie, msije mkammaliza RAIS WA WATANZANIA
Kwa hiyo wasiwasi wako ni upi.
Nawaomba Cdm wawashirikishe wabunge wa nccr siyo chama at least mwakilishi mmoja wale waliopinga mswaada. Maana chama kama chama hawasomeki mpaka leo Mbatia kashikwa na kigugumizi mpaka leo.
Chai ya ikulu hawajipendi, watavuka ngozi kama Mwakyembe. Naamini hawatagusa vinywaji.Sababu zipi zaidi ya zile alizosema Lissu ? mnazo mpya ?. Najua hakuna jipya , na kama ni hizo hizo JK aliisha zijibu zote au shida yenu ni kwenda kushikana na rais mikono, kuingia ikulu, kunywa chai na kupiga picha ?
Vichwa kama nape?CDM mmepigwa bao la kisigino. Naona mmeishiwa nguvu kabisa. Hapo ndio mjuie CCM kuna vichwa vinafanya kazi!
Peoles power daima! well crafted!
Hii ya CCM kukurupuka ni sawa na kumuona jamaa anaelekea Ubungo ukamfuata wakati wewe ulikuwa huna mpango wa kwenda huko.
Chadema ina sababu zake wanapinga mswada kusainiwa, sasa CCM na CUF watakwenda na hoja gani, kama hoja yao ni kuupinga mswada sawa waende makao makuu ya Chadema waone ni kwa namna gani wataunganisha hoja lakini kama wana hoja tofauti na Chadema waombe siku nyingine wakutane na rais hawakatazwi.
Hii ni sawa na fujo za kisiasa, ni sawa na kusikia BAKWATA wanataka kumuona raisi nayo Jumuiya ya Kikirsto Tanzania CCT wakaomba waingie gari moja.
Chai ya ikulu hawajipendi, watavuka ngozi kama Mwakyembe. Naamini hawatagusa vinywaji.
Na hapo ndo cdm inapojipambanua kama chama makini na chenye maono ya mbali ktk kuiletea nchi hii maendeleo.
Mwisho, Tungependa kumshauri Rais kuwa pamoja na kukutana na CHADEMA atenge muda ili aweze kukutana na makundi mengine mbalimbali ya kijamii yenye maoni na malalamiko kabla ya kusaini sheria iliyopitishwa na Bunge kwa maslahi ya taifa letu na ili kuweza kuleta utengamano wa kitaifa.
Watu mnakosea ile ni kamati ndogo ya CHADEMA kwa msisitizo na iliteuliwa kutoka miongoni mwa wajumbe wa kamati kuu, sasa sioni kwanini ichanganywe na watu ambao si wajumbe mbaya zaidi si wanachama.Haya maneno ni muhimu sana!!!!
CHADEMA mlikosea kutoweka nagalau mjumbe mmoja kutoka NCCR-MAGEUZI!
Ndiyo maana nasema CC ya CCM imekurupuka imerukia mada ambayo haikuwa ajenda yao, sielewi CCM walikaa muda gani na kujadili kwa kina implications za kusudio la Chadema.Tatizo ninaloliona ni CHADEMA KUONGOZA NCHIII KWA MLANGO WA NYUMA,
Mtake msitake nchi hiyo hasa siasa inaongozwa na CDM .?Je kama CDM wasingeomba kukutana na Rais Je KAMATI KUU INAYOKUTANA INGEJADILI NINI.?