CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

Wao wameyataka wenyewe, wamepewa juice kidogo tu wameenda kusaini karatasi ambayo haina kichwa wala mguu na wala haina maelezo ya kutosha zaidi ya kuwafanya wananchi kufikiria kwamba wamekubaliana kila kitu na Serikali.
 
chadema mliyataka wenyewe hakuna wa kumlaumu ndoa na ccm imewashinda mnaleta visingizio

Mama porojo unabeep! CHADEMA wakiwapigia mtaanza kulalamika kwamba CHADEMA wanahatarisha amani mliochiwa na Baba wa taifa.
 
..according to Mnyika, CDM wamempa Raisi mapendekezo yao.

..Raisi "kayaweka kabatini" mapendekezo ya CDM na kuamua kusaini mswada kuwa sheria.

..obviously CDM lazima wagomee kushiriki ktk process nzima ya kukusanya maoni kwa kutumia sheria aliyoisaini Raisi.

NB:

..hisia zangu ni kwamba serikali huko mbeleni itapuuza maoni ya wananchi kama ilivyoyapuuza maoni yaliyotolewa na CDM.
 
Sijakuelewa hapo kwenye red!!
Kwani vyama vya siasa vinaruhusiwa kushiriki mchakato huo?
 
Yaani Chadema wanataka kutuambia kuwa wao walikuwa wakidhani kuwa mkutano wao wa siku mbili na Rais (wasiyemtambua) ungeweza kupangua mswada uliopitishwa bungeni?

Au ilikuwa ni kwenda kuonana na Rais ili tu wasema tulimpa masharti na alitupuuza kwa hiyo tunagomea?
 
Joka kuu,kwanini hatuwabani viongozi wetu watuambie kwanini walikubali kusaini kile kikaratasi cha kihuni? Yaani mnyika anataka kutwambia Rais walitoa ahadi kwa mdomo? Sielewi tunazunguka nini! Aibu hii mkuu!
 
Mnadhani move hii ni kosa limefanywa na cdm, hasha! jaribio kutokukidhi matarajio hakuifanyi ccm kuwa imefanya vema, imeuanika ubaya wa ccm, imetafsiri utawala wa hila wa dubu ccm, imeonyesha wazi kuwa ukiwasikiliza ccm wao watadai umewaruhusu wakuamulie hatima yako, niwaambie! ccm imezidi kuwa mbaya!!!!!!!!
 
Ndo walitaka ku-override mchakato na muswada wa sheria..sijui wao ni akina nani aisee..maana baada ya bunge taasisi nyingine yenye nguvu ni ofisi ya Rais. Wao hawapo juu au sawa na bunge! Mind u walikimbia mpambano bungeni na kurusha taulo..

Sijui kama wanaendeshwa na fikra au (kama wanavopenda kuwaita mapacha wenzao Magamba) masaburi.

Kaaz kwelkwel
 
Mtazamo,

..kile kikaratasi kinaonyesha dharau ya serikali/JK kwa CDM.

..sasa ili haki itendeke lazima kwanza tuwaulize serikali, kwanini wamewadharau CDM kiasi kil?

..vilevile tuwaulize CDM, kwanini walikubali kudharauliwa kwa kusainishwa kile kikaratasi?
 
Kwa mwendo huu naona katiba CCM tayari waliiandaa bado ku" release" tu kwa sababu CUF walipeleka maoni yao yamewekwa kabatini nasikia nao wanampango wa kufuatilia mapendekezo yao kwa nini hayafanyiwi kazi " watamfuata huyu huyu Rais wetu "

CHADEMA nao wamepeleka maoni yao yamewekwa kabatini " hilo kabati karibu litajaa sasa " Sasa wanataka kususia mchakato mzima nahisi hata CUF kama hawaelewana vizuri watasusia tu na hii ndipo watakajionyesha kuwa wao siyo CCM B
 
Mkitaka mjue tunamaanisha nini subirini majibu ya serikali! very very SIMPLE na kile kikaratasi chenye saini ya Mnyika mbele ya wanahabari na mtaona hata wananchi watavyozidi kugawanyika tena worse on our side
 
Joka kuu,kwanini hatuwabani viongozi wetu watuambie kwanini walikubali kusaini kile kikaratasi cha kihuni? Yaani mnyika anataka kutwambia Rais walitoa ahadi kwa mdomo? Sielewi tunazunguka nini! Aibu hii mkuu!

Kwa mdomo tu kwa sababu maafikiano ya maandishi na CCM hata kama yatapigiwa kura na wananchi kutapelekea "kuolewa" na CCM kama CUF ilivyotokea.
 
Mnadhani move hii ni kosa limefanywa na cdm, hasha! jaribio kutokukidhi matarajio hakuifanyi ccm kuwa imefanya vema, imeuanika ubaya wa ccm, imetafsiri utawala wa hila wa dubu ccm, imeonyesha wazi kuwa ukiwasikiliza ccm wao watadai umewaruhusu wakuamulie hatima yako, niwaambie! ccm imezidi kuwa mbaya!!!!!!!!
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa kuna document ambayo imesainiwa na Nchimbi na Mnyika kama wawakilishi wa serikali na CDM respectively.
Kwa hiyo, watu tunauliza Je, ni kipengele kipi kimekiukwa mpaka mseme mmeuzwa?
Ni hilo tu, mengine ni malumbano ya hapa na pale ili siku iende.
 
Kitaeleweka tu. Viongozi wa CDM kama wamejikwaa ndiyo somo zuri huko mbeleni. Cha mhimu ni kuzingatia nia na dhamira ya kweli ya kutaka kuona kila mtanzania anafurahi kuitwa mtanzania sehemu yeyote aliko (ndani na nje ya Tanzania).

CDM wamefanya kazi kubwa ya kututoa tongo tongo, na sasa hatuna haja ya kukata tamaa wala kurudi nyuma, cha msingi ni kurekebishana na kusonga mbele. Na leo hii CDM siyo viongozi pekee wenye kubeba majukumu ya kuendelea kuwatoa tongo tongo wananchi walibado kwenye giza ni jukumu letu sote. Hayo ndo ninayoyaamini mimi WA-UKENYENGE.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom