CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

Mkuu una maneno machafu sana.Nisije nikakujibu ukanisababishia BAN kama ulivyomsababishia MOLEMO

Mkuu inamaana hii TAKATAKA ndo ilimsababishia Molemo ban? Asee nimemmiss sana Molemo!!

Back2topic:
Ongeleni sana CDM kwa muendelezo wa M4C!! Karibuni sana na Bukoba Vijijini bado wamelala!! "Mungu awe nanyi!!"
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimevunjavunja ngome ya CCM wilaya ya Ngorongoro ambapo wanachama 800 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.

Tukio hilo kubwa lilitokea juzi baada ya Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse kufanya mkutano mkubwa wa hadhara wilayani hapo na kutoa somo kubwa la uraia kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Akikabidhi kadi mpya kwa wanachama hao Mchungaji Natse aliwataka wakazi hao kuwa mabalozi wa
CHADEMA katika maeneo ya vijijini wanakotoka na kuwaambia sasa hivi hakuna kulala mpaka CHADEMA itakapokamata dola mwaka 2015.

Baadhi ya wanachama wa
CHADEMA walimweleza Mchungaji Natse kuwa wamekuwa wakipata vitisho kutoka kwa viongozi wa serikali wilayani hapo wakilaaniwa kwa uamuzi wao wa kuipinga CCM.

Hata hivyo wanachama hao wameahidi kupambana mpaka tone la mwisho.

Source: Mwananchi Alhamisi Uk 16
Mkuu fmpiganaji ahsante kwa taarifa we acha watufunge magoli ya Segerea sisi tuendelee kuwabomoa kwenye mashina!!!! Bandu bandu humaliza gogo mwisho wa CCM unakaribia!!! Waongo, wezi, mafisadi na wala rushwa hawatakaribishwa kwenye serikali ya CHADEMA!!!!
VIVA CHADEMA VIVA UKOMBOZI WA MTANZANIA!!!!!!!!!
MUNGU TUPIGANIE KUKOMBOA NCHI YETU TOKA MIKONONI MWA MAJAMBAZI CCM!!!!!

Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Nadhani unaumwa ugonjwa wa UAMWI (Upungufu wa akili Mwilini), jiji la Dar es Salaam lina watu kati ya milioni 4 na 5, alafu Ngorongoro iwe na milioni 4, acha kutumia masaburi kufikiri mwenzangu
 
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Acha unafiki hakuna wilaya ya watu milioni 4 nchi hii, Temeke yenye watu wengi wapo kama milioni 1.5 ije kuwa Ngorongoro, kumbe kila anayeondoka ccm ni gamba? Then hayo maneno yako machafu nadhani ni urithi uliopata toka kwa Lusinde. Hongera sana.
 
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Una hakika na hizo takwimu za watu milioni 4 hakuna wilaya yenye idadi ya watu milioni 4 acha upuuzi
 
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Acha uongo wako wewe mchumiatumbo, kuna wilaya gani ina watu million 4 Tanzania? Mtahaha sana lakini mmeshikwa mkashikika hamtoki!
 
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

akili zako nusu kijiko za kimagamba katikati ya ma-great thinkers ni sawa na tone la damu kuangukia baharini
 
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Wilaya ina watu milioni 4! Hata ungehesabu watu,wanyama, wadudu na ndege wote wa Ngorongoro hawafiki hiyo idadi. Hata Dar yote haina hao watu! Ama kweli uwongo wa ccm unakaribia kikomo
 
hii ni nonstop movement, yaani Nape katibu mwenezi wa Chama anapigwa AC tu pale Rumumba na tumbo kuubwa hana wasiwasi na hii movement ya mabadiliko.. Dah
Tatizo la CCM hawaoni kuwa wananchi wamebadilika siyo tena wa wakuongozwa kwa matamko toka Lumumba kama enzi za Makamba na Tambwe. Secretary wa Ideology and Publicity Nape badala ya kutafuta strategy ya ku-counterattack yeye anazidi kubishana na watu tu FB. Anyway ngoja tuone inawezekana chama kina mbinu zake za kisasa za kupambana na hii hali, lakini ninachotaka kumwambia ni kwamba kama anapita humu JF, he and his party should take this as a serious note.
 
sasa mnataka nape afanye nini kwa wakati huu hata yeye anaona chama kinavyo poromoka na mbaya zaidi hawezi kuzuia hayo maporomokokwani yanakuja na majabali makubwa sana yana bomoa vizingiti vyote vilivyopo inabidi atazame tu na kubaki ofisini la sivyo yatamsomba nayeye.

Back
Top Bottom