CHADEMA yaisambaratisha CCM jimbo la Nyang'hwale kijijini Karumwa

quote_icon.png
By Kimokole
CCM wameshinda kwa asilimia 61 (61%) Uzini, Chadema Asilimia 4 (4%)

Chadema imeshika nafasi ya pili, hongera Chadema



Ukitaka kujua kiwango cha ujinga wa mtu, msikilize akizungumza au soma andiko lake, kweli humu kuna miujiza hakuna watu. tatizo wengi wanaathiriwa na kuku na mayai ya kuku wa kisasa.
 
nimefatilia habari hizi nimegundua kuwa akija mwehu mmoja na akatudanganya kuwa jeshi limeasi wana jamii forum tutamiamini na kumpa pongezi , au akituambia chadema wapewewa urais jk kakubali kutoka ikuru tutakubali haraka, muhimu habari iwe na chadema ndani, mimi ni mkaazi wa kharumwa, kitongoji cha nyaweshi sasa habari hizi mbona atuzijui za chadema kuisambaratisha ccm jimbo la nyang'wale
Fuatilia=fatilia?!, ikulu=ikuru?!hatuzijui= atuzijui. Kweli umetoka Nyaweshi,Kharumwa huwezi kujua umefungwa ubongo na ******* pole!
 
Back
Top Bottom