Nani aandamane kutoka wapi!!!labda machizi kutoka mirembe na uwaambie wakifika dar wote wanageuka nyumba!
Maandamano ya Chadema huwa yanaonyeshwa live kwent TV? Umenikumbusha ule usemi "This revolution will not be televised."
Yakiwa peaciful hua hayaoneshwi (sijui yanakua hayana mvuto?); Kukiwa na vurugu lazima Umesahau Mwanza na Mbeya?
AshaDii unafanya nini huku kwenye siasa?
Very Interesting...Dr. Slaa thrives on Vurugu (at least that is my IMO); Kuandamana mimi sioni kua ni tatizo sana... Kwa jinsi Serkali yetu ilivo na ilipofika huwezi pata kitu bila making noise. However Slaa ananiboa pale ambapo likitokea tatizo huweza li-manipulate in whatever way na kuwaambia na kuwashawishi wananchi kuandamana. Unfortunately yeye mradi wameandamana ndio raha yake; lakini hajaweka vigezo vya maandamano kua yawe yanakua vipi.... Kwamba walau hao vijana (maana ndio wengi); wanapo andamana basi kweli wastick kwenye kuandamana (si wamsikiliza sana) na sio katika kuwafanyia fujo fellow wananchi... In other cases watavamia maduka, haribu magari fanya fujo (as if ni genge la majambazi) badala ya kuandamana peacifully.....
Mimi naamini ana connections... na naamini lazima there is a better way of tackling the issue nje ya maandamano.
AshaDii,
You got it wrong my dear.
Tangu lini umesikia ama kuona maandamano yasiyoingiliwa na polisi yakaambatana na vurugu na uporaji kama unavyojaribu ku potray? Hapa nazungumzia maandamano yanayoitishwa na chadema, nikumbushe ilikuwa lini na wapi?
Duniani kote njia ya kistaarabu ya kutoa mawazo/maoni ama kupaza sauti juu ya jambo/mambo fulani yanayokwenda kinyume na utaratibu. Short of that ni msituni ambako Dr. Slaa haitaji kwenda huko.
Bila shaka utakuwa umesikia shughuli ya ''walk to work'', je Dr. Besigye anashauriwa na Dr. Slaa kuandamana!?
Na mwisho usisahau kwamba kuandamana ni haki ya kikatiba, wacha Slaa atekeleze matakwa ya katiba ya JMT.
AshaDii unafanya nini huku kwenye siasa?
kasikia harufu ya emt
MAMA POROJO, kwanza kwa heshima na taadhima naomba ubadilishe hiyo avatar yako, inakupunguzia heshima kwani inatoa picha mbaya na ni rahisi wengi kuihusisha na mawazo unayoyatoa. Pili kama jibu la serikali hii kwa madai ya Chadema ni mabomu ya machozi na risasi, hii ni hatari kabisa na hiyo serikali kabisa haitufai.chadema wasahaulifu sana ni hawa hawa polisi au wengine ngojea mabomu ya machozi na risasi za rasha rasha
chadema wasahaulifu sana ni hawa hawa polisi au wengine ngojea mabomu ya machozi na risasi za rasha rasha
Yakiwa peaciful hua hayaoneshwi (sijui yanakua hayana mvuto?); Kukiwa na vurugu lazima Umesahau Mwanza na Mbeya?