CHADEMA yaibwaga CCM kwa jumla ya kura uchaguzi wa madiwani

Hizi takwimu zina walakin kidogo. Kata ya Ipole - Sikonge imechukuliwa na CDM lakin hizo figure za jnuswe zinaonyesha kuwa CCM ilipata kura nyingi (CCM kura 577, CDM kura 373)! WHY??

Hata ya daraja mbili yana walakin kwan Jumla ya matokeo CHADEMA
2156,CCM 1286. Wanabodi ushabiki usiwafanye kuwa blind
 
Yani cdm wa jf ..ukisoma koments zao hadi unacheka na kuona wa hovyo kabisa... Sa mnashangilia takwimu feki?? Kata 29 mtoa mada kaweka ngapi>>> na je katika hizo kata 29 ccm wameshinda kata ngapi na cdm wameshinda kata ngapi kama sio 5 .. Sa hapo unajivunia nini kama kweli chama ambacho kinajinadi ni chama mbadala chama cha watu... Kwa ujumla cdm kimeshindwa tena vibaya.. Kumbukeni katika uchaguzi tunaangalia nani mshindi mwisho wa matokea.... Ninyi endeleeni tu na takwimu zenu hizo magumashi na mkaona chama kinapenda ... Tubadilike chadema tumakoma na kufungua matawi uk usa huku tz chama chenyewe hata hakijulikani zaidi ya mosho arusha etc
 
nimefurahia sana takwimu hizi lakini hebu tuwekee za kata zote hata kama zitaniumiza mimi mwana chadema..[/QUOTE

Hama cdm tuliisha kuambia, njoo kambi ya ushindi ccm , kwa hesabu za haraka haraka mmepigwa 17 bila (i.e 22-5 )
 
Tukisema mnatukasirikia! Hivi hizi takwimu zimeisadia CHADEMA kupata kata zaidi ya tano walizopata!? Mantiki na maudhui ya kuziweka hizi takwimu ni nini hasa?

mantiki ni kwamba kwa kata hizo wapiga kura walioipigia CHADEMA ni wengi sana kuliko mnavyoshangilia ushindi wa hivyo viti 23,
 
Nape kazi kwa habari ndo HIYO

KATA CCM CHADEMA
Daraja mbili12142047
Ipole Sikonge577373
Kilole Sikonge690329
Nanjara Reha11342370
Tomato Lushoto901312
Bugarama1145772
Songea Mjini955297
Mtibwa13723096
Kilema707727
Jumla ya Kura 869510323

TAKWIMU HIZI SIO SAHIHI: Mfano tu, kata ya daraja mbili, Chadema ilipata kura 2,193; CCM 1,324
 
CHADEMA NI VUVUZELA TU,,,,,MAMBO YA MSINGI KAMA CHAGUZI NDOGO HAWAZIPI KIPAUMBELE KAMA CCM ALAFU maskini mwenye njaa huwezi kuwapa sera..wakaelewa ccm wankuja na masufuria ya pilau,,mpaka umaskini upungue kabisa hapa ndipo chadema itashinda nionavyo mimi ....
 
Jibuni hoja kwa kura hizo huo kweli ndo ushindi, jaribuni kutafakari kwa kina kama kweli huo ndo ushindi kwa tofauti ya kura na msihehesabu viti tu mlivyoshinda , subirini maboresho ya daftari na moto utakao waka 2015, wavivu wa kufikiri ninyi
 
nimefurahia sana takwimu hizi lakini hebu tuwekee za kata zote hata kama zitaniumiza mimi mwana chadema..[/QUOTE

Hama cdm tuliisha kuambia, njoo kambi ya ushindi ccm , kwa hesabu za haraka haraka mmepigwa 17 bila (i.e 22-5 )
wewe ndiyo wale ambao Heche alikuwa anawasema jana. Hivi wewe unafurahi 17 bure ukishindanisha chama chenye umri wa miaka 50 na kile cha miaka 20, halafu unalinganisha chama kilichoshika dola na kisicho na dola. Na hapo bado mmelabwa kata tatu na chadema? Sasa nyie mmeshinda au mmeshindwa? Kama mngekuwa bado mnapendwa sana, basi mngelinda kata zenu zote na kuongeza zingine. Lakini mmepoteza, na kuruhusu chadema kupata kura katika kila kata zilikopigw kura, jambo linaloashiria kwamba CHADEMA imeanza kukubalika na maeneo ya vijijini ambako awali ilikuwa haifahamiki.
 
mantiki ni kwamba kwa kata hizo wapiga kura walioipigia CHADEMA ni wengi sana kuliko mnavyoshangilia ushindi wa hivyo viti 23,
Kwako wewe kila mtu ni CCM ilimradi anahoji vitu ulivyoleta. Kwani kata zilikuwa Tisa tu!?
 
Kwako wewe kila mtu ni CCM ilimradi anahoji vitu ulivyoleta. Kwani kata zilikuwa Tisa tu!?

utajijua huko huko, ndo maana ya sample hapo sikuchukua walizoshinda chadema tu nimechukua ambazo CCM wameshinda na ambazo Chadema wameshinda na gap ya kura ndo hilo, kama unao ushahidi kwa takwimu kuwa CCM haijabwagwa ulete hapa, na sio kuendeleza ubishi hapa
 
Tatizo JF ina watu mchanganyiko sana, wamo na watoto wadogo wasiokuwa na uwezo wa kuchambua mambo. Sasa wewe unafurahia nini matokeo ya kata tisa kati ya 29? Na kati ya hizo tisa, CHADEMA wameshinda nne, hivi ulitegemea tofauti ya kura iweje? Haya si matokeo ya kuwafanya watu wazima wenye akili timamu kuanza kuyashangilia. Kikubwa tuangalia tulipoanguaka tukarekebishe na si kuanza kujifariji na takwimu zisizo na maana hizi. Mnataka kumhadaa nani?
my take.
Na
likokona mtwara region ccm 1149 cdm 367 cuf 908 na nccr 31
 
utajijua huko huko, ndo maana ya sample hapo sikuchukua walizoshinda chadema tu nimechukua ambazo CCM wameshinda na ambazo Chadema wameshinda na gap ya kura ndo hilo, kama unao ushahidi kwa takwimu kuwa CCM haijabwagwa ulete hapa, na sio kuendeleza ubishi hapa

umejibu vema sana,technically chadema imepiga hatua kubwa sana and support zaidi inahitajika badala ya kukata tamaa kwa sababu ya matokeo yalitoa kata 5 dhidi ya 22 badala 2 za cdm before dhidi 27 za ccm.tafsir hapa ni kwamba ccm imeporomoka wakat cdm imepanda chati.
 
Wakuu, naomba nitangulie kwa kusema mimi siko chama chochote cha siasa. Ila ni mpenda ,mabadiliko, ukweli na uwazi.
Kuna mtu kanitumia takwimu za matokeo kasoro kata moja ya Bugarama nadhani ni Shinyanga, (mtaiona katika table).

Nawashauri tu CDM, wajiulize walipojikwaa na wajirekebishe japo wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindani.

No.KATACCMCDM
1Magomeni (Pwani)1478479
2Bangata1117881
3Daraja mbili13242193
4Mahenge710444
5Mtibwa13723096
6Mtele995297
7Mpapai1443280
8Luwumbu56525
9Malangali12471418
10Lwezera1317925
11Makata80838
12Mlelomiembeni818138
13Minyenze378167
14Karitu854354
15Kiloleni648166
16Ipole365568
17Bugarama
18Mwananza794575
19Lubili1108620
20Kitagiri1416157
21Kikokona1149367
22Nanjaraneha11282370
23Kilema Kusini784734
24Vugiri1460337
25Tamota1060772
26Msalato869450
27Mpwapwa17221189
28Myovizi17261498
29Mpapa903310
JUMLA29,55820,848
 
Nape kazi kwa habari ndo HIYO

KATA
CCM
CHADEMA
Daraja mbili
1214
2047
Ipole Sikonge
577
373
Kilole Sikonge
690
329
Nanjara Reha
1134
2370
Tomato Lushoto
901
312
Bugarama
1145
772
Songea Mjini
955
297
Mtibwa
1372
3096
Kilema
707
727
Jumla ya Kura
8695
10323

Kati ya kata 29 chadema imeshinda kata si zaidi ya tano. Hivi chadema inaenda mbele au nyuma. Tafakari chukua hatua
 
Hizo ni statistics za kuwafariji wana ukoo. Hakuna kitu katika viti 29 ccm imepata asilimia 82 ya kura zote. Saa unachagua visehemu 9 ili kujifariji. Walioshindwa huwa wanamaneno mengi. Ushauri wa bure tathminin kampeni na propaganda za kitoto. Haiwezekani kampeni za miaka miwili mfululizo unakuja kulizwa namna hii. Madiwani watano tuu kati ya 29. Hapa kuna soo haliwezi chomoka kwa vi statistics mwitu
 
inauma lakini ukweli no wenyewe huo. CHADEMA imepigwa mwereka wa kilio cha mfululizo. Output hailingani na Input. Madege yoote, makelele na maandamano ndo kutafuta madiwani watano tu kati ya 29??? poleni sana wapeni maji kunywa kweli automatic
 
Hata ya daraja mbili yana walakin kwan Jumla ya matokeo CHADEMA
2156,CCM 1286. Wanabodi ushabiki usiwafanye kuwa blind
By Miruko:
TAKWIMU HIZI SIO SAHIHI: Mfano tu, kata ya daraja mbili, Chadema ilipata kura 2,193; CCM 1,324
KATA

CCM

CHADEMA

Daraja mbili

1214

2047) Hata sielewi nani anasema kweli hapa
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom