Mungu yu upande wa wenye haki na wanyonge daima.Nitamrudishia nini bwana Mungu wangu kwa wema aliotutendea watanzania? Naam nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana!
Nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje kwa technology ya sasa NEC hawajatoa matokeo ya jumla? Kila kituo imehasabu hapo hapo na matokeo kubandikwa ukutani, wanashindwaje kutoa at least prelimanry results wakati wanafanya huo uhakiki wao?
CCM wakae mkao wa kwaheri kwasababu wametuchosha na hii pia ni mfano tosha kuwa sasa watanzania wameamka na kuona waendako, kwaufupi leo uchaguz mdogo wadiwan kilumba mwanza umefunika waweza fikiri labda ulukua uchaguz wa mbunge vile. hivo bas kwa wale wote ambao hamjaamka jaribu kuamka tumuondoe huyu nduli IDI CCM.
Bravo! Could be truly the beginning of the END for the green color party!! Well done Wapiganaji! Wanasema hakuna kulala mpaka kieleweke... Hakuna kukata tamaa mpaka watanzania waelewe somo la uraia. Kwa kweli kama CHADEMA wameshinda basi juhudi zao za kuwafundisha watanzania somo la uraia zinaelekea kuzaa matunda! It is sureal, Congratulations to the entire team..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.