CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Ritz alijiapiza kwamba CDM ikishinda Arumeru atatembea uchi kuanzia Ubungo mataa hadi Kimara Bungokwa. Sasa tunataka aje hapa JF atuambie ni lini atafanya hiyo safari ili tukamshuhudie. Ritz come back my friend. Hii ndio siasa, ulituahidi tunaomba utimize ahadi yako.
 
Mbona Kagenzi kupitia ITV anasema wamepata matokeo ya kata saba pekee!
 
..inaelekea kuwa habari nzuri, kwa kuwa unaiamini source yako ya habari, lakini hawa jamaa wanaweza kuwa na mipango ya kutuliza munkari baadae wanafanya mambo yao. Tunatumain mambo yatakuwa vyema!!
 
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

Itakuwaje kama matokeo yatatangazwa vinginevyo? Maana hii Tanzania hii, mhhh! Ila namkubali sana Judge Lubuva..he might be different
 
Matokeo vituo 80 wkt vituo vk 300 unawapa watu majibu hewa bado ndo kwaaanzaaa mimba imetungwa subiri upepeo utakaovuma nyambaaaaafffff
 
Hongera Chadema, Hongera Mwenyekiti Mbowe, Hongera Katibu mkuu Slaa, Hongera Naibu Katibu mkuu Zitto, Hongera Kamanda Mrema, Nyerere, Natse na makamanda wote mliofanikisha ushindi huu. Hakika mmepeleka signal kubwa kwa watawala kuwa wananchi wamechoka kuonewa wanataka wajitawale, wajipangie maendeleo yao. Hongera sana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Chadema hakika tuna kila sababu ya kujivunia ushindi huu.
 
Safi sana wananchi wa Arumeru kwa kuichagua CDM na kumwamini J. Nasari.
Sasa tunaenda jimbo la segerea kwa mzee wa kukimbia na masanduku ya kura...
 
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

Mkuu,unaheshimika hapa Jf. Lakini hii sio April Fool? Tafadhali!
 
Tatizo dogo nikuwa tuna matatizo yakuwapa taarifa watu za uhakika. matokeo yake wanatengeneza uncertainty isiyo yalazima. Natumaini within the hour or so itabidi watangaze tu mshindi kwa sababu Polisi nao wanataka kujitutumua tu.. suala la polisi wanaretaliate baada ya gari la polisi kupigwa mawe karibu na USA River..
 
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

i cant blve it.! Ccm has thousands of dirty tricks capable to overturn the genuine results, hwever should nec announce comrade Nassari the winner, it will mean so much to Cdm in Tz, all da best cdm..
 
Sasa CCM wamesema matokeo yatatangazwa kesho asubuhi baada ya kuona eti kutatokea rabsha wakitangaza mida hii. USIKU MREFU MWANANGU!!

CCM=tume ya uchaguzi
 
Ritz alijiapiza kwamba CDM ikishinda Arumeru atatembea uchi kuanzia Ubungo mataa hadi Kimara Bungokwa. Sasa tunataka aje hapa JF atuambie ni lini atafanya hiyo safari ili tukamshuhudie. Ritz come back my friend. Hii ndio siasa, ulituahidi tunaomba utimize ahadi yako.

Mkuu hachana na huyo Ritz, ila atambue kuwa hata al Islam ilikula kwake, lazima vijiti vitembee...
 
Back
Top Bottom