Chadema yaibomoa vibaya ccm

you guys are dreaming!
you will never remove CCM by demonstration! NEVER on EARTH!
Tafuteni mbinu nyingine. Njia bora zaidi ni kuiba kura wakati wa uchaguzi!!
Na hapa swali ni kwamba: mtaweza kuiba kura ilhali anayesimamia, anayehesabu na anayetangaza wooooooooote wanateuliwa na mshindani wenu?!!!

kama maandamano hayatawatoa CCM, sasa mbona kuanzia mwenyekiti wenu analalamika na kila mbunge na wakuu wa mikoa na kila aina ya NGO za CCM mnalalamika?
 
EL ndiye atakaye ivunja vipande vipande , bwana NDIBALEMA YOU ARE VERY RIGHT, unajua humu jamvini kuna watu wana sumu ya CCM hawawezi kusoma hata upepo wa siasa na kuona alama za nyakati, wanapambana ndani na nje ya chama wataweza ?
 
you guys are dreaming!you will never remove CCM by demonstration! NEVER on EARTH!Tafuteni mbinu nyingine. Njia bora zaidi ni kuiba kura wakati wa uchaguzi!! Na hapa swali ni kwamba: mtaweza kuiba kura ilhali anayesimamia, anayehesabu na anayetangaza wooooooooote wanateuliwa na mshindani wenu?!!!
History is the best lesson. CHADEMA wakishindwa CCM itapambana na wananchi hasa vijana waliopigika. Unajua hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom