Chadema yaibomoa vibaya ccm

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Mandamano yaliyofanywa kanda ya ziwa na kisha kuhamia nyanda za juu kusini ni pigo kubwa kwa CCeM, kila unapoweza kupita katika maeneo hayo watu kwa takribani asilimia 80 wanazungumzia chama pekee kinachotegemea kuwarejeshea matumaini wananchi wake ni CHADEMA,

Wanajamvi mtaungana nami kwa kurejea kikao cha bunge kinachoendelea sasa, kila mbunge wa CCeM hatoi hoja kwanza ni mpaka aelezee maumivu yaliyowapata kutokana na mandamano hayo,

CHADEMA hao jamaa mmewatandika ngumi ya uso, mkimaliza bunge ni kuongeza nguvu ya mandamano mara mbili zaidi ili CCM itokomezwe kabisa , kwa hali ninavyoiona CCeM itabaki simulizi kwamba kilikuwepo chama Tanzania kilichokuwa kinaitwa CCem
 
nafikiri itafia kigoma, tutaiaga mikoa ya kati na tutaizika ukanda wa pwani !
 
baba tawiree magamba wanakufa kifo kibaya saaaana.mzoga wa ccm hautakuwa na mazishi wala matanga utaachwa by the roadside utafunwe na mbwa koko na funza mpaka uwe udongo! na hapo utakapoozea huo mzoga hapatamea chochote sababu ya laana za viongozi na wabunge wao! CHADEMA HOYEE!!
 
baba tawiree magamba wanakufa kifo kibaya saaaana.mzoga wa ccm hautakuwa na mazishi wala matanga utaachwa by the roadside utafunwe na mbwa koko na funza mpaka uwe udongo! na hapo utakapoozea huo mzoga hapatamea chochote sababu ya laana za viongozi na wabunge wao! CHADEMA HOYEE!!

hiyo nimeipenda
 
Mtaji wa CCM ni umaskini wa Watanzania. Watapata kura kwa kugawa kofia, fulana na kanga. Ukitaka kuwatoa CCM madarakani, weka sheria ya uchaguzi kuwa hakuna kutoa Kanga, kofia au fulana za chama wakati au karibia na kampeni za uchaguzi, CCM watadondoka kama embe dodo
 
ni kweli , halafu yale makanga , tshirts na makofia yamepungua sana kuvaliwa , zamani ilikuwa vipindi vya nyuma baada ya uchaguzi wapiga kura walikuwa wanayava sana, 2010 sijui waliyagawa kidogo ?
 
you guys are dreaming!
you will never remove CCM by demonstration! NEVER on EARTH!
Tafuteni mbinu nyingine. Njia bora zaidi ni kuiba kura wakati wa uchaguzi!!
Na hapa swali ni kwamba: mtaweza kuiba kura ilhali anayesimamia, anayehesabu na anayetangaza wooooooooote wanateuliwa na mshindani wenu?!!!
 
Nimetamani sana kuwawekea picha ya kibao nilichokiona eneo la Majengo ya juu, huko Arusha lakini simu imegoma ku upload. Kimeandikwa "sasa umeingia himaya ya Chadema". Kwa Arusha, pamoja na maandamano wanayofanya cdm bado hayajafika lakini ccm ni kama imekufa! Hakuna mtu anayeweza kujitambulisha kuwa ni mwana ccm hadharani. Wanaishia kwenye ofisi zao na kwenye tv tu!
 
LATTICE BOND ndivyo unavyoamini kuwa ccm itadumu milele, you are very wrong, kila jambo linamwisho, na kwa taarifa yako hayo sio mandamano tu, ni makombora ya maangamizi, kupitia maandamo na hiyo mikutano wananchi wanaelewa na ndo maana sasa wameanza kuichukia sana CCeM
 
Du mazungumzo kama haya yalikuwepo kabla ya oktoba 30 naona yameanza tena, uzuri hapa ni nchi kivuli.
 
CCM kwisha habari yao huku IRINGA sas hivi ni ngome ya CHADEMA,yani CCM haipendwi hata kidogo nadhani nyie wenyewe mlijionea kwenye mandamano mwezi uliopita.ANGUKO LA CMM LIMETIMIA.
 
mandamano yaliyofanywa kanda ya ziwa na kisha kuhamia nyanda za juu kusini ni pigo kubwa kwa ccem, kila unapoweza kupita katika maeneo hayo watu kwa takribani asilimia 80 wanazungumzia chama pekee kinachotegemea kuwarejeshea matumaini wananchi wake ni chadema,

wanajamvi mtaungana nami kwa kurejea kikao cha bunge kinachoendelea sasa, kila mbunge wa ccem hatoi hoja kwanza ni mpaka aelezee maumivu yaliyowapata kutokana na mandamano hayo,

chadema hao jamaa mmewatandika ngumi ya uso, mkimaliza bunge ni kuongeza nguvu ya mandamano mara mbili zaidi ili ccm itokomezwe kabisa , kwa hali ninavyoiona ccem itabaki simulizi kwamba kilikuwepo chama tanzania kilichokuwa kinaitwa ccem

mkuu hizi data zimejaa ushabiki siyo uhalisia. Ni kama utafiti wa redet. Hii 80% umeipataje, umemhoji nani na nani?
 
huo ndo ukweli, njia niliyo tumia inaitwa "Focus group discussion" hii njia tunaitumia unapotaka kupata majibu ya haraka haraka unaenda kwenye kusanyiko lolote la watu unaanzisha hoja, watu wanatoa michango yao , waweza kufanya maeneo mbaqlimbali mjini , vijijini then unaitimisha na ndivyo nilivyofanya ,

Jaribu kwa maeneo hayo niliyokutajia hutathibitisha hili
 
Viva Chadema sisi tuko muda hata ama mko Bungeni mtaani tuna tafsiri yale yanayo yafanywa na Makinda na hasira zinawashika mno Wananchi
 
Ndugu yangu UNDULE na kama hiyo njia ,hujaridhika nayo linkanisha mikutano ya chama cha magamba na ile ya CDM halafu + malalamiko ya wabunge wa CCM bungeni kuwa mandamano yamekuwa mwiba kwao utapata 80%
 
you guys are dreaming!you will never remove CCM by demonstration! NEVER on EARTH!Tafuteni mbinu nyingine. Njia bora zaidi ni kuiba kura wakati wa uchaguzi!! Na hapa swali ni kwamba: mtaweza kuiba kura ilhali anayesimamia, anayehesabu na anayetangaza wooooooooote wanateuliwa na mshindani wenu?!!!
I have a feeling you in for a Suprise..The popularity of CCM is at the lowest levels in ares where Chadema has demonstrated ...uchakachuaji utakua mgumu zaidi 2011 wait and be surprised
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom