CHADEMA yaibomoa CCM Kibaha vijijini

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Makamanda wa cdm wakiongozwa na Habibu Mchange, Rajabu, Mwampamba wanazunguka kata zote za jimbo la kibaha vjijin kufungua matawi na leo wapo mpiji kote wanakozunguka wanavuna wanachama weng. Hakika vjijin wameichoka ccm. Viva cdm
 
Habari nzuri,kwa harakati hizi ,CDM haimo ktk kundi la vyama vya msimu/uchaguzi.
 
Hamoud Juma anawakati mgumu sana kutetea kiti chake 2015. Vijana wamekasirika huwezi amini vijijini ni bendera za cdm ndizo zinapendezesha vitongoji ni mitaa
 
Hakuna kulala.pia Monduli,wana kimbiza mwizi kimya kimya,wa2 wame choka vijijini.baada ya Arumeru mstari wa mbele vijijini.
 
nasikia ccm wametangaza kujitoa kugombea tena majimbo yote ya kibaha yaani mjini na vijijini.
ila sina hakika kama ni kweli.
tutumie picha za huko basi tupate kuziona.
 
nasikia ccm wametangaza kujitoa kugombea tena majimbo yote ya kibaha yaani mjini na vijijini.
ila sina hakika kama ni kweli.
tutumie picha za huko basi tupate kuziona.

jana nilimuona Koka akiranda randa mitaani aliwakusanya vijana wa mpira pale kongowe s/m na kuzungumza nayo hii ni baada ya uchaguzi ndo anazinduka leo. Cdm inawapeleka mputa.
 
huu moto hauzimi hapa Mbeya jana uchaguzi wa vingozi ngazi ya kata ulifanyika katika kata zilizosalia na moto unaendelea hadi ngazi ya shida kilicho nifurahisha ni idadi ya wagomea na wapiga kuwa wengi huku amani ikitawala nimefuatilia karibu sehemu zote kulikuwa na amani
 
Katika matukio yote hayo hamna hata picha moja uliyofanikiwa kupata au ndiyo na wewe umesimuliwa ukaamua kuja kupiga story JF?
 
nafurahi sana kama Habib Mchange amemaliza tofauti zilizojitokeza katika uchaguzi wa BAVICHA kwa roho nyeupe

well done kamanda Mchange
 
huu moto hauzimi hapa Mbeya jana uchaguzi wa vingozi ngazi ya kata ulifanyika katika kata zilizosalia na moto unaendelea hadi ngazi ya shida kilicho nifurahisha ni idadi ya wagomea na wapiga kuwa wengi huku amani ikitawala nimefuatilia karibu sehemu zote kulikuwa na amani

matokeo yalikuwaje kamanda?
 
Well,,kwa cdm hilo ndo lililobakia,ni kutembea sana vjjni, Aweda uko wapi mkuu? mie napenda kupata bendera zenu na kapelo kadhaa,navipataje hivi?last time nilinunua pale makao makuu kapelo kwa tsh 3000, bendera utaratibu uko vp kuzipata?
 
Back
Top Bottom