Chadema yafunika Mwanga

Hakika hata siku John Heche akimaliza muda wake Bavicha basi huyu dogo wa Arumeru ana uwezo mkubwa wa kukamata usukani.Hakika angeingia bungeni Magamba wangejuta.
 
mwanga ya Moshi kaka
No!Mwanga ya Kilimanjaro.Ni njiani kutokea Moshi kama unaenda Dar,ama Tanga ama Same etc etc.Mwanga ni wilaya kama Moshi.Kwahiyo wilaya ya Mwanga haiwezi kuwa wilaya ya Moshi at the same time.Nisawa na kusema Ilala iko temeke.
 
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani Nanyaro wa arusha, na kamanda kombe.

My take: hawa jamaa hawchoki na wapo serious sana. Walikuwepo wote igunga juzi tu hawajapumzika Leo wapo mwanga. Kweli hakuna kulala

Wafunika Mwanga????????????????? How?????????????
 
mwanga ya Moshi kaka

Mwanga ni wilaya ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Moshi nayo ni wilaya ndani ya mkoa Kilimanjaro. Haiwezekani Mwanga kuwa ndani ya jiji la Moshi kwa kuwa mwana ni wilaya iliyo nje ya mji na wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Vema tuandike kijiografia na kufuata taratibu za city limit maana tunaweza wachanganya wengine wasiojua sehemu hiyo.
 
Labda kuna Mwanga mpya, kwani Mwanga ambayo mie bado naifamu si ya Moshi ila iko ndani ya mkoa wa Kilimanjaro, ambayo ni makao makuu ya wilaya ya Same. Moshi ni wilaya na makao makuu ya wilaya ya moshi na makao makuu ya mkoa wa Kilimanjaro.

hapana mkuu Mwanga sio makao makuu ya Same.Ila mwanga ni wilaya kamili na sehemu kubwa ya wakazi wa eneo hili ni Wagweno waliochanganyika na Wapare,kwa nyongeza hii ndio wilaya ya Cleopa Msuya,waziri mkuu mstaafu
 
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani Nanyaro wa arusha, na kamanda kombe.

My take: hawa jamaa hawchoki na wapo serious sana. Walikuwepo wote igunga juzi tu hawajapumzika Leo wapo mwanga. Kweli hakuna kulala

Do.. Kichwa cha Habari Kiministua mwenzenu..!! Mimi nilidhani CDM yafunika mwanga yaani imeleta mwanga (UMEME)na labda TANESCO na mi-Ngelejeeeee yake wameshapigwa ban. Kumbwe mwenzetu sisi una maanisha mji wa Mwanga-Kilimanjaro, basi mkuu nakukumbusha tu kwamba Mwanga ni mji so unapoanza kuuandika pliz anza na kepito leta. senk-yu
 
Teh teh..ccm wanasema CDM hawajuhi siasa

My take:Nadhani ccm ndo hawazijuhi siasa za kisasa ila ni wataalamu wa old politics na CDM sio mafundi wa OLD politics ila wameiva katika MODERN politics ambazo ndo za kileo na za kisayansi
 
Kweli makamanda nawakubali!! Ila naomba kujua Mwanga iko sehemu gani(fafanua). Na vp raia mwamko wao, wanaonekana kuuchukia wizi na kujitambua au bado wanaitaji elimu ya uraia?(maoni yako mkuu).

nyie ndo mnaodanganya watu.mnahadaa wananchi hata tanzania hamuijui.huu ni ujinga ulopindukia..wilaya ya mwanga iko mkoa wa kilimanjaro.
 
Katika wote Joshua Nassari ni funika bovu.Huyu dogo atafika mbali sana,Mungu aepushie mbali lakini laiti jimbo la Arumeru lingekuwa wazi mbona ingekuwa raha...

Mbona yule mbunge wa arumeru anaumwa kinyama atakufa mda wowote au ajiuzulu mana nasikia anaumwa kansa ya ubongo but am very sorry for him. Then uchaguz hata hivo dogo alishinda ila magamba wakachakachua. Ila hata wale wazee wa arumeru waliapa hatakanyaga bungen na kweli hadi leo hajawahi kula kiapo. Tusubir tuone.
 
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani Nanyaro wa arusha, na kamanda kombe.

My take: hawa jamaa hawchoki na wapo serious sana. Walikuwepo wote igunga juzi tu hawajapumzika Leo wapo mwanga. Kweli hakuna kulala

Hapo magamba kitete ile mbaya....kweli CHADEMA ndio inaongoza nchi...
 
Back
Top Bottom