Chadema Yafunika Houston Texas, Linda Bezuidenhout aendelea kumake Headlines!!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,289
92,369
Yaani wee acha, yule dada ambaye ukimchanja kiwembe basi damu yake ni Chadema tupu.
LB ameweka headline nyingine USA na nguo za uzinduzi wa tawi la Chadema Houston TX. Nguo zimejaa rangi nyekundu zikimaanisha damu za wanyonge na za Chadema zilizomwagika. Wanyonge ni watu Kama wamama wazazi waliofariki wakati wa kujifunguwa na vitoto vichanga na watu waliokufa kutokana na hali duni za hospitali zetu na matibabu

Mshono wa nguo ya Linda unaitwa Dueces CCM 2015. Na mshono wa wifi yake Asha wa Houston TX unaitwa mpaka kieleweke, kwa style hii CCM imeandaliwa makaburi kila pembe ya Dunia hii, sasa ni dhahiri kitaeleweka muda si mrefu.

Nb: kwa wale msiomjuwa Linda Bezuidenhout ni dada wa yule Richard Bezuidenhout ambaye alishinda kitita cha $ 100,000/= za Big Brother pia ni mkwe wa mzee Victor Kimesera.

226073_464386766928866_1809335857_n.jpg

Nguo ya LB imejaa rangi nyekundu kwa ndani ambayo ni dedicated to the innocent lives lost.

295978_464389016928641_1517199944_n.jpg

Sasa hata Walimbwende mnakaribishwa Chadema kwani kumesheheni kila aina ya ubunifu, ile minguo ya kijani na njano sasa hivi ni ishara ya laana kwako na kizazi chako chote.

304696_464388383595371_2124825652_n.jpg
 
Amamchumba?kama hana niko m4c pia pesa ipo mara 2 ya kaka yake aje bongo tule maisha tuikomboe na nchi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Daaah......yaani hii nayo ni habari???????

1. Kavaa nguo nyekundu
2. Dada wa Richard aliyeshinda BBA
3. Mkwe wa mz Kimesera
4. Jina la mtindo wa nguo

Mwisho wa siku Mtanzania anafaidika nini sasa na haya yoooooote........mkuu Matola@......hii sio level yako bana
 
Usijisahau sana mkuu, hili siyo jukwaa la siasa, hili ni jukwaa la Habari mbalimbali na hoja mchanganyiko, kuna watu wamepumbazwa na CCM kwa kanga kofia na Tshirt za bure tu, maudhui ya thread hii ni kujuzana hasa kwa akina dada ndio ambao kundi linalohitajika zaidi kuamka kwamba hata Chadema ni sehemu yao ambapo wapo wabunifu wa kuwatowa bomba Kichadema.

Mjomba kama hupendi saga chupa ubwie, utaki unaacha kuna watu kwao hii ni habari na kama hauko interested wewe ipotezee tu mkuu wangu. sihitaji muda wote kudiscuss hard news kuumiza roho yangu bila sababu, hii ni sehemu yangu yangu ya kurelax na habari ngumu. Got It?
 
Haya bana......enjoy the relaxation.......
Ila mnapopewa likes muwe mnajua kuna siku mtapata na challenge pia m sorry again it is my own fault to label the bottle before being filled.............ngoja nikajisagie chupa mjomba
 
Naona wewe unastahili dedication ya wimbo wa Peter Msechu featuring Kidumu-Relax!!!
 
Naona wewe unastahili dedication ya wimbo wa Peter Msechu featuring Kidumu-Relax!!!

Shukrani mkuu.....unajua kuna majina ukiyaona unajua hapa kuna habari ntaipata sasa leo nimepanda basi la Magala nikiwa na safari ya Pugu na dereva kawa mkali sana.....thanx mkuu
 
nimemuona mshikaji wangu kapost picha FB, naona ishu ilikua funika bovu
 
Amamchumba?kama hana niko m4c pia pesa ipo mara 2 ya kaka yake aje bongo tule maisha tuikomboe na nchi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

lol, Nzagamba!et uikomboe nchi, umenchekesha,mwenzio
Ana mume mzuri sana ,watoto wa3, ana miaka40,birthday yake juzi. Binti yake wa kwanza kashakuwa mdada mrembo..maybe huyo!
 
Janjaweed kazi ipo, badala ya kuangalia Gwanda za kuwanunulia wapenzi wao, mijicho imewatoka kuangalia mguu!! Dhaifu.

download
download
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom