CHADEMA yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba

Lipumba amekuwa mchezaji wa mpira mpaka anunuliwe?CDM siyo timu ya mpira
 
Kwamba Lipumba ahame CUF aende CHADEMA kumfuata mhasimu wake Prof. Safari ambaye ni hivi majuzi tu alihama CUF kuukimbia ukiritimba wa kung'ang'ania madaraka wa Lipumba mwenyewe?
Hii habari haijakaa kiushawishi....
 
Anatafuta huruma ya CDM...kwani yeye hapigiwi saluti na kuendeshwa kwa misafara ya bodaboda kama naniiii??

Mwenzao yuko nchini kwao kwa wazanzibahari anazidi kunona...shavu dododo

Lipumba imekula kwako mzee!
 
Hivi Prof. Lipumba anajisikiaje Katibu wake anapopigiwa saluti huku yeye Mwenyekiti ....mmmh !
 
Mwacheni ajaribu , ana uchungu kwamba CUF na hasa Maalim hajasema lolote Mbunge wao wa Bara anako toka Lipumba kadhalilishwa na CCM na JK na Maalimu wako kimya . Mwache amke sasa
 
Mwacheni ajaribu , ana uchungu kwamba CUF na hasa Maalim hajasema lolote Mbunge wao wa Bara anako toka Lipumba kadhalilishwa na CCM na JK na Maalimu wako kimya . Mwache amke sasa
Maalim kapata alichokitamani siku nyingi. Lipumba ndani ya CUF sasa ni kama Ikemefuna
 
Duu huyu mzee lipumba atafunga ndoa ngapi ? ya chama cha magamba hajapewa taraka , .sasa anataka na chadema ataweza kweli maana mikiki ya chadema sio mchezo. ss tunamwambia ahamie huku cdm
 
Hahaahaah ! Hatimaye nimecheka , Eti CuF ni chama cha majuha , eti wanampiga vita Prof, ili wajitawale kijuha ! Daah i love Jf.
 
tunahitaji maprofesa wengi zaidi Safari pekee hatoshi kuamsha watanzania ambao bado wako kwenye usingizi wa pono,Chadema needs more Safari, hata kama ni kununua wanunue kwa faida ya watanzania wote
 
hujasoma sredi yote.
Mimi nimeomba details kamili as hilo gazeti nasikia likichambuliwa msikiti wa jirani na home, mimi siwezi soma hilo gazeti.
Comments za Lipumba ni my perception na sio kulingana na analyisis za upupu wa hilo gazeti

msikiti unachambua gazeti?? eenh?
 
msikiti unachambua gazeti?? eenh?

inawezekana,nenda usimame kawe petrol station karibu na myfair ndogo,mida ya sa11 usikie upotoshaji wa majamaa,wao uchambua TanzaniaDaima,waraka wa Tec/cct na ulinganisha na majarida ya al nuur, al huda na n.k Inawezekana hata kwa mleta mada kwao yapo!
 
Hahaahaah ! Hatimaye nimecheka , Eti CuF ni chama cha majuha , eti wanampiga vita Prof, ili wajitawale kijuha ! Daah i love Jf.

ndugu,ebu nukuu japo mchangiaji hata mmoja aliyetaja maneno 'cuf chama cha majuha'! Usilete upotoshaji mkuu,usiwawekee watu maneno mdomoni! Hoja imeletwa kuwa vi magazeti za majuha ndo vinaleta upotoshaji ila hamna aliyesema cuf chama cha majuha. Kwangu ntaliona tusi dhidi ya chama cha cuf,si vema!
 
Wana JF nawasalimKatika pita pita yangu asubuhi nimeona hii tittle Chadema yadaiwa kumnunua Prof. Lipumbahili gazeti ni pro-CUF+CCM sasa hii inaashiria Lipumba anaanza kuandamwa ndani ya CUFKwa wale wanaolisomaga hebu tupeni details au kwa wale wanahudhuria mhadhara wa manzese kwa bakresa tujulisheni My take:CUF haitakiwi iongozwe na mtu msomi wa kiwango cha Lipumba. Lipumba is so much educated to associate him self na waandishi majuha wa gazeti la HOJA watamwangushaLipumba analazimika kuongea urojo for sometimes ili asikalie kuti manake wale wanachama wa CUF uelewawao bora hata Wafuasi wa Mtikila
How dare you read such tabloid?
 
Inaonekana siku hizi kila anayetumia akili zake mwenyewe kupinga hali yoyote ya ukiritimba sehem yoyote ile basi ana uhusiano flani wa kichadema.Hii inafurahisha sana.Inathibitisha kuwa cdm wanatumia akili mno kufanya mambo yao.Hata kwenye migomo ya vyuo vikuu,utasikia eti cdm wanahusika .Mgomo wa wafanyakazi utasikia cdm wanahusika,duh!Inaonekana watu hawatambui haki zao bila cdm.Kama hivyo ndivyo kwann sasa cdm isipewe nchi.
 
chadema kama real madrid wanakusajili pale wanapoona umuhimu wako, msimamo wako, fikra zako na upeo wako wa kujua mambo. kwa lipumba kwenye msimamo natia shaka.
 
Kesho Jumapili kunakucha, wajue hii nchi ina umma. Lipumba in demonstration following people power style.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom