Nadhani huyo cjui apoly hajui maana ya neno chuo kikuu kwa kiswahili. Nadhani mnabidi wote wanaoishiriki humu tuanzakujifunza masomo ya falsafa pia. Kama hujui kuwa kila mwanadamu kwa asili ni mwanasiasa basi ujitoe humu, manake tutakuwa tunasoma vichefuchefu, nadhani tumekuwa tukitoka nje ya mstari. Sheria ya chuo inasemaje? Kama kuna baraza la chuo ambalo wanafunzi wanapaswa kuwakilishwa watapatikanaje? Nadhani hajawahi kuwa mwachuo mtu atakayepiga mtu kugombea uongozi wa wanafunzi?
Je Mzee Kilkwete angefahamika wapi isingekuwa kujijenga ama akina Sita, Labda Kitila Mkumbo anaweza kuwaambia washiriki umuhimu wa kuwa kiongozi, hususani vyuoni.
Je Mzee Kilkwete angefahamika wapi isingekuwa kujijenga ama akina Sita, Labda Kitila Mkumbo anaweza kuwaambia washiriki umuhimu wa kuwa kiongozi, hususani vyuoni.