CHADEMA yachukua kata nzima!

Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
 
kwa kweli nampa hongera Katibu wa cdm kwa mipango mizuri ya kichama tangu uchaguzi hadi lao kuelekea 2015
 
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika

ulivyo mjinga unataka utafuniwe kila kitu .... vilaza bana wana kazi kweli kweli
 
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.
 
Hao ndio magamba tuliyokuwa tunasema kuwa yanatakiwa yajitoe yenyewe kabla ya mwaka 2012 kwisha. yakiondoka yote CCM itabaki safi kabisa, na wananchi watarejesha imani yao kwake.
 
This is what we expect, CCM is now an opposition part in Moshi, Arusha Mwanza, Mbeya and even Songea
They better asks themselves where is KANU, Where is UPC, they better look also countries like Malawi, Zambia and Mozambique, It is on the way to follow them

I give you thumb up! magamba until todate they believe are safe and will survive.The wirst thing on them which is good to magwanda they don't notice or recognise their natural death. Let them not coz it's advantage.
 
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
 
Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.

Meku nyura, kirua ya wapi hiyo vipi maeneo ya kwa tela,uchira,kisangani?
 
Kazi ipo, aliyeondoa mradi huo hakuwa na nia ya kweli ya kusaidia wananchi alikuwa anataka madaraka tu.
 
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo

Ushindi utawezaje kurudi kuwa wa Tsunami, ilhali uliopita ulikuwa wa upepo na hata sio kimbunga ? Tsunami, kimbunga na upepo ni kpi kinachoanza ? Maana mwaka 2005 ilikuwa Tsunami, 2010 ikatabiriwa kuwa utakuwa wa kimbunga, badala yake ukawa wa upepo !!!
 
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika

wewe naeeee!!! kwa waelewa hawana haja ya kuuliza kitu kama hicho unachotaka wewe maelezo. wenye mchezo wa kuchukua hadi under 18 kuwaandikisha kama wanachama ni CCM. Ukiwa na utamaduni wa kukipa kichwa chako fursa ya kufikiria hutakuwa na maswali ya kigamba gamba.
 
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika

Hujaelewa nini?? Maelezo yako mwenyewe hapa yanaonesha umeelewa!!!
Au unatimiza wajibu wako wa kujaza porojo kwenye thread?!!!
 
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.

Duh!Nakuona kama yule msemaji wa Saddam Hussein alivyokuwa anasifia jeshi lake wakati anajua keshazidiwa,alikuwa anaitwa Al Sahaf kama unakumbukumbu!!!:israel:
 
Back
Top Bottom