CHADEMA yabakiza karata moja ya kucheza na mabadiliko kupatikana

Hivi maandamano bado yanatusaidia sana CDM? Nadhani watu wameanza kuichoka hii style yetu - leo maandamano kesho mahakamani, tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Magamba
 
Join Date : 9th November 2011

Posts : 11
Rep Power : 0


kwa mwenye akili huitaji kubishana na member kama huyu!

 
Ili sote tuweze kuleta mabadiliko ya kweli ya kuliondowa taifa letu tukufu kutoka kwenye ukoloni mamboleo na utegemezi ni lazima tuweze kuingiza kiungo muhimu nacho ni UMOJA. Kugombana juu ya chama gani kinafaa na kipi wababe sana kunachelewesha maendeleo. Ni wazi nyie mnaobezana juu ya vyama mumeshiba. Kumbukeni ndugu zenu vijijini ambao wanakula mlo mmoja tu kwa siku labda mtakumbuka juu ya taifa jinsi linavyo angamia. Rasilimali zinaporwa na wageni, haki zinakiukwa nchini na bado nyie mnalumbana juu ya vyama. Hii inadhihirisha kuwa hamna chama hata kimoja kilichokuwa na jibu la kuitoa Tanzania kutoka limbwi la umaskini na utegemezi. Hadi kitakapo patikana mtaendelea kubezana at the expenses of poor Tanzanians. WAKE UP PEOPLE
Few people are capable of expressing with equanimity opinions which differ from the prejudices of their social environment. Most people are even incapable of forming such opinions.
 
Vibaraka wa CCM wamejaa kuandika threads za Chadema tu mana wamegundua zinachangiwa sana,sasa cha msingi nyie magamba muwe mnaandika threads zenu za mafisadi,mtaacha lini ukibaraka wa mkoloni mweusi CCM.Shame on you.
 
Back
Top Bottom