CHADEMA yaanza rasmi kampeni za Anga Arumeru

Kuweni makini na matumizi CHADEMA, maana kuna majimbo yatakuwa wazi muda si mrefu. Segerea ni moja, Muheza wanapelekana mahakamani na sasa tunasikia Kibaha kuna mtu anataka kuachana na siasa uchwara. bana matumizi.

CDM kina mtaji mkubwa wa wanachama wake wanakipa support kubwa sana kukomboa nchi usiwe na shaka kuwa tayari kutoa chochote katika saa hii ya ukombozi,.
 
Jimbo la Arusha nalo litakuwa wazi Godbless Lema atakaposhindwa kesi na Kawe lingekuwa wazi kama chadema wasingeomba sulusu kwa Mbatia.

Jimbo la Arusha likiwa wazi ukaitishwa uchaguzi mdogo CDM wakaweka bendera tu na magamba wakamsimamisha Kikwete bado Bendera itashinda!!!
 
helchedema[1].jpg

ikijiandaa kupasua anga
 
hii ndio silaha ya mwisho ya CDM, ccm wakileta helkopta 3, ndio mwisho wa chadema.
 
Jimbo la Arusha likiwa wazi ukaitishwa uchaguzi mdogo CDM wakaweka bendera tu na magamba wakamsimamisha Kikwete bado Bendera itashinda!!!

Mkuu hakuna mahakama duniani inayoweza kutengua ushindi wa Lema kwa ushahidi uliotolewa pale.Sanasana walioshtaki wataishia kulipishwa gharama za kesi
 
CCm si waliutangazia umma kwamba cdm wanafanya harambee kwa kuwa wamefilisika baada ya ufadhiri kukatwa; sasa hizi za kukodi helkopta zimetoka wapi? Au ndo mwendelezo wa taarifa za UONGO toka chama tawala?! Mhhh, ccm kwa uongo hamjambo.

Mkuu wangu porojo nyingine zinajibiwa tu kwa vitendo
 
uzinduzi walishdwa kurusha LIVE kwenye kideo wakat TBC niyakwao.mkuu molemo nasikia ccm wananunua vitambulisho kuna mdogo wangu yupo univrsty of arusha ameniambia kuna watu wanapgia wanafunz simu wakitaka wawakabith vitambulsho kwa sh 10000,kama upo arumeru washaurini watu watunze vitambulisho wasimpe mtu.INANIUMA SANA CCM WANAPOTUMIA UJINGA WA WANANCH KUJINUFAISHA

Mkuu wangu hakuna uovu utakaoshinda haki hata siku moja.
 
Jimbo la Arusha nalo litakuwa wazi Godbless Lema atakaposhindwa kesi na Kawe lingekuwa wazi kama chadema wasingeomba sulusu kwa Mbatia.

Mkuu hiyo kesi haina kichwa wala miguu...na hakuna hakimu aliye tayari kudhalilisha taaluma yake kwa kuushahidi uliotolewa toka upande wa mlalamikaji.
 
Mkuu hiyo kesi haina kichwa wala miguu...na hakuna hakimu aliye tayari kudhalilisha taaluma yake kwa kuushahidi uliotolewa toka upande wa mlalamikaji.

Ni kweli mkuu kesi ambayo mtu unakuwa na wasiwasi kutokana na ushahidi ni Segerea kwa Mahanga lakini Arusha ni wazi ni upuuzi tu pale
 
Kuweni makini na matumizi CHADEMA, maana kuna majimbo yatakuwa wazi muda si mrefu. Segerea ni moja, Muheza wanapelekana mahakamani na sasa tunasikia Kibaha kuna mtu anataka kuachana na siasa uchwara. bana matumizi.

Mkuu hili la Muheza hembu nijuze tuanze kupasha moto maana wale watu hawana maji wakati vyanzo vya maji ya Tanga ni Muheza !
 
Jana kulikuwa na thread iliyokuwainashauri CHADEMA sasa tupeleke nguvu kubwa vijijini, naamini ushauri huoumechukuliwa kwa mapana na uzito mkubwa ndo maana Helkopta imeanza kazi iliJoshua afike vijijini kote. I was there last week kwa sasa niko Dar na keshonitashiriki kampeni za Udiwani Vijibweni kabla ya kusafiri kwenda Mwanza tarehe27 iliko ngome yangu kumpa tafu Danny Kahungu. Kiukweli mwitikio ni mkubwa sana nasasa tulishauri sana msisitizo iwe kwa vijana, akina mama na wazee wanaotuunga mkono kuhakikishawanaenda kupiga kura na the good thing inaonekana shahada zao wanazo and theyare ready for Changes. Watu wengi wamekuwa dissappointedkwani mgombea wa mafisadi hana mvuto na anaongea vitu jumlajumla tu yaanihaonekani kuguswa na matatizo ya wananchi perse. Makamanda popote pale mlipo hasa wahuko Dodoma, Mbeya na Tanga hakikisheni mnahimiza watu kwenda kupiga kura na lindenikura zenu hata kama ni za udiwani. Nawakumbusha kuwa CHADEMA tunajiandaakuchukua dola by 2015....GET READY PLEASE
ALUTA CONTINUA
 
tuna watakia ushindi April 1,2015.

kwa taabu zote hizi za ardhi,maji, raia wengi LIFE lime DON'T kuwapa magamba ushindi
 
Back
Top Bottom