Yanatafutiwa ufumbuzi. Hayo ni matokeo ya maendeleo yaliyopigwa na Watanzania ndo maana barabara hazitoshi, kila mtu anajua.
Maandamano si utamaduni wa Mtanzania, tuache kuiga mambo ambayo tutakuja kujuta baadaye.
Kujenga hoja na kufikia Maridhiano ndio utaratibu wetu.
Bado natafuta jibu, yatakoma lini?
Dunia inatucheka ati, wengine wanatumia muda wao vizuri wakati sisi tunarudishwa nyuma na wanasiasa uchwara.
Kama una hoja itoe hapa, acha lugha chafu.
Yanatafutiwa ufumbuzi. Hayo ni matokeo ya maendeleo yaliyopigwa na Watanzania ndo maana barabara hazitoshi, kila mtu anajua.
Watanzania wamemaliza uchaguzi wao wa 2010 kwa mafanikio, amani na utulivu.
Serikali ya Rais Mteule inaendelea kuchapa kazi ili kutimiza yale yaliyoahidiwa kwa wa Tz.
Jambo linalosikitisha ni mtindo wa Chama Kikuu cha Upinzani kutafuta kila aina ya kisingizio cha kuhamasisha maandamano, na wakati mwingine kudai yatakuwa ya nchi nzima.
Visingizio vya kipuuzi vya kufanya maandamano haya ni pamoja na:
Kupanda kwa bei ya umeme,
Kuwepo kwa mgao wa umeme,
Kupigwa kwa mbunge wao aliyekuwa anaonyeshana ubabe na Polisi,
na mambo mengine ya kitoto.
Kwa nini viongozi wa chama hiki wasitumie njia mbadala ya kufikisha ujumbe kule walikokusudia? Au ndio uvivu wa kufikiri?
Maandamano hayana tija kwa nchi yetu zaidi ya kuwazuia Polisi kutimiza majukumu yao ya kimsingi. Viongozi makini wa siasa wenye uchungu na nchi yao hawawezi kufanya mambo kama haya yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Wakati umefika wa kuachana na siasa za kitoto.
Siku mkiacha mambo ya kitoto na ya kipuuzi, maandamano kwishneyWatanzania wamemaliza uchaguzi wao wa 2010 kwa mafanikio, amani na utulivu.
Serikali ya Rais Mteule inaendelea kuchapa kazi ili kutimiza yale yaliyoahidiwa kwa wa Tz.
Jambo linalosikitisha ni mtindo wa Chama Kikuu cha Upinzani kutafuta kila aina ya kisingizio cha kuhamasisha maandamano, na wakati mwingine kudai yatakuwa ya nchi nzima.
Visingizio vya kipuuzi vya kufanya maandamano haya ni pamoja na:
Kupanda kwa bei ya umeme,
Kuwepo kwa mgao wa umeme,
Kupigwa kwa mbunge wao aliyekuwa anaonyeshana ubabe na Polisi,
na mambo mengine ya kitoto.
Kwa nini viongozi wa chama hiki wasitumie njia mbadala ya kufikisha ujumbe kule walikokusudia? Au ndio uvivu wa kufikiri?
Maandamano hayana tija kwa nchi yetu zaidi ya kuwazuia Polisi kutimiza majukumu yao ya kimsingi. Viongozi makini wa siasa wenye uchungu na nchi yao hawawezi kufanya mambo kama haya yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Wakati umefika wa kuachana na siasa za kitoto.
its all crap! CDM badala ya kuwa chama cha kusimamia mambo ya ki-sera imegeuka pressure group hayo wanayodai ni kazi ya wanaharakati kina mama nkya though taasisi yake ni branch ya CDM she and her company are better placed to do that au waambieni wanafunzi wa vyuo vikuu wawasaidie kwa hilo kama mnavyo jificha nyuma yao kila siku. shame on you!
in fact mmekua madalali wazuri kwa kuuza magazeti. Kila kukicha CDM wamefanya hiki CDM watafanya kile......Mbowe kafanya hiki Slaaaa Bla blaaaaa. ni vizuri kwa wenye magazeti kuuza lakini infact it has become too monotonous .... try something for a change!!!
Who showed this blog mkuu? ni kweli kama hujui ni kwa nini wanataka kufanya maandamano? ni kweli pia hujajua kama hiyo bei ya umeme imepanda wakati kipato kipo palepale na hasa kwa sisi walimu na wachovu wenzetu? ngoja nikupe mnyumbulisho kiduchu. umeme 10000, maji elfu 7000, house maid elfu 30 au 68. pango chumba na sebule 150000. chakula kwa kujinyima na familia 100000. usafiri if any 40000. nk. hakuna haja ya kuandamana? unaweza sema unataka watu wachange au kwa kutumia lugha nyingine yoyote but kama wewe ni upande ule mwingine ujue kuanzia leo kama change begins with you mkuu. unaweza kuwa unao uwezo lakinh kama systems zetu zingekuwa bora zaidi ungekuwa na uwezo zaidi. tatizo la waswahili hatupigi hesabu ndo maana kila siku hatuna kitu. unaona kama ongezeko la umeme sh 11 ni ndogo. piga kwa uni 100 kwa wateja wote wa tnsc wa ngazi hiyo then mara mwaka ambao ni 12 miezi then upate jibu.
Chadema wamejaa utoto! Sijui kwa nini wameshindwa kujifunza kwa ile CUF ya 1995-2005...