"CHADEMA" ya Zambia yachukua Nchi rasmi: Hii ndio Speech

Very good speech Mr. R. Banda! Nimefurahishwa na ushauri kwa chama chake. Amekishauri kujipanga upya na kuruhusu damu changa kushiriki kwenye kuamua maamuzi ya mustakabali wa nchi.
Viongozi waki tz na afrika wanatakiwa kutambua kuwa hatawao walianza uongozi wakiwa vijana na sasa wamezeeka. Wawaachie vijana fursa za kuamua mustakabali wa nchi yetu.
Mfano, Msekwa alikuwa katibu mkuu wa ccm miaka 34 iliyopita hadi leo ni kiongozi wa juu kwenye chama!? Mwanae atafanya kazi gani sasa? Kama anamawazo yake katika kujenga nchi yetu, atayasemea wapi? Bado tunaimplement mawazo yaleyale ya mwaka 77!
Angalia UDP. Tangu kimeanzishwa, karibu miaka 20 sasa, mwenyekiti ni yuleyule!
Lazima tujifunze kubadilika na wakati na kupumzika inapobidi!
 
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...
Akili yako nafikili haifanyi kazi sawsawa tatizo unafikili kwa kutumia makalio tunachoangalia ndugu ni uwezo wa mtu kuongoza sio dini gani acha udini usiwe mpumbavu kiasi hicho.
 
kila la heri ewe shujaa muonesha njia kwa magamba,umechungulia mbali sana
much respect to u
 
Sawa lakini je tumejifunza nini? watawala wetu wamejifunza nini? kuna kitu wameweza kujifunza kweli???


Tunamini kila kitu kinawezekana hata upinzani wanaweza kuchukua nchi baada ya chama tawala kuonesha kimeshindwa, kama hapa tz ccm wameprove failure kabisa. sijui kama watawala wetu wamejifunza lakini wanatakiwa wasome na kujifunza kutoka kwa zambia baada ya chama tawala kukubali kuachia nchi, kwa moyo mweupe.
vile vile inatakiwa watawala wajifunze kuheshimu maamuzi ya wananchi na sio kung'ang'ania madaraka nchi inaweza kuingia kwenye machafuko yasiyo ya lazima
 
Mpwa ni sahihi kabisa unachoongea, nakubaliana na wewe lakini tatizo letu hebu ona kukiwa na mjadala mdogo tu tunakimbilia dini na imani zetu, je huoni kuwa hapo hatjengi misingi ile tunayodhamiria? nadhani ni Lazima sisi vijana tundkane na ulevi huu wa DNI tuingie kwenye siasa za kweli, au unasemaje Mpwa?

Elli yani me huwa nachukia sana haya mambo baazi ya wenzetu wanaleta ya udini na kukashifiana pasipo na sababu za msingi, unajua kuna watu wana mawazo finyu sana na vitu kama hivi ndo vinatufanya tusijikomboe na tusifikie malengo tuliokusudia.
 
Mapdre hawana nafasi ya urais mkuu, leteni mgombea mwenye elimu sahihi kama ya Lipumba siyo hiyo kuongoza mjengo wenye msalaba ushauri tu..oops

Wewe kama umkubali wapo wengi tu wanaomkubali huyo lipumba unaye mpenda kuna wengine hawampendi wala hawamkubali ndomana cku zinavyozidi kwenda anazidi kushuka thamani. Alafu kaka usitake kutumezesha sumu za udini tumekuchoka sana na siasa uchwara zako
 
Rais mteule wa Zambia kupitia chama cha upinzani Bw. Michael Satta ameapa kutekeleza ahadi yake ya kuwatimua wachuuzi wa kichina na wa kihindi (kama wale wa kariakoo) kwakuwa wamekuwa wakiingiza nchini zambia bidhaa zilizochini ya kiwango na pia kushindwa kufanya biashara kubwa ambazo zingetengeneza ajira kwa wananchi wengi., kwa mujibu wa mwanamama ambaye naye alikuwa amegombea udiwani kwa tiketi ya chama tawala(jina limenitoka) alikuwa akihojiwa na jahazi la clouds fm amemlaumu bw.

Satta kwa kupendelea siasa za vurugu na hivyo kuhatarisha amani. Je, hili lina funzo gani kwa Tanzania.?
 
Tatizo ni unafiki wa wanasiasa, maendeleo yanaletwa na wazawa, usitegemee mhindi au mchina akuletee maendeleo labda awe mzawa na hapeleki mafungu kwao
 
Hao wahindi wenyewe walojaa Lusaka wote wanatoka Tanzania. Na wamiliki wengi wa maduka Lusaka ni wabongo. sasa kazi kwao. ila tuwaombee mungu.
 
Hao wahindi wenyewe walojaa Lusaka wote wanatoka Tanzania. Na wamiliki wengi wa maduka Lusaka ni wabongo. sasa kazi kwao. ila tuwaombee mungu.


sidhani kama watafanya lolote kwa watanzania,kwa taarifa yako wazambia wanawaheshimu sana watanzania,nimeishi pale naelewa,ugomvi wao ni wachina,walebanon,na wahindi,kuhusu wazungu hasa kutoka south africa wanakubalika sana
 
Rupia Banda is the holy person in the modern african politics. He has seen something that only concious minded people see and respect
 
A very good speech indeed from outgoing president. Rais wetu magumashi toka chama magamba aliyewekwa madarakani na usalama wa taifa sijui atadiriki kusema haya CHADEMA itakapochukua dola 2015!
Too low.
 
sidhani kama watafanya lolote kwa watanzania,kwa taarifa yako wazambia wanawaheshimu sana watanzania,nimeishi pale naelewa,ugomvi wao ni wachina,walebanon,na wahindi,kuhusu wazungu hasa kutoka south africa wanakubalika sana
wazambia kwa ujumla ni wavivu kuliko wabongo, na sidhani kama kuwafukuza wahindi na wachina ndio kutainua uchumi wa wazalendo, likewise to wabongo. ngoja tusubiri na kuona utekelezaji, maaana kuahidi ni kwingine na kutekeleza ni jambo lingine.
hata hivyo, Hongera upinzani kwa ushindi.
 
Nimekua nikifuatilia kwa karibu uchaguzi wa Jirani zangu na Wakwe zangu hapo Zambia, hatimae Upinzani wamechukua nchi na hio ndio ishara Nzuri kwamba sasa wanaaminiwa na harakati za Kuapishana ndio zinakamilika hivyo. Lazima jamaa watavunja Tume ya Uchaguzi iliyochelewesha matokeo; hii ndio spech ya Ya rais aliyeshindwa.

I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS OVER. THE PEOPLE OF ZAMBIA HAVE SPOKEN AND WE MUST ALL LISTEN. SOME WILL BE HAPPY WITH WHAT THEY HAVE HEARD, OTHERS WILL NOT.THE TIME NOW IS FOR MATURITY, FOR COMPOSURE AND FOR COMPASSION.

TO THE VICTORS, I SAY THIS: YOU HAVE THE RIGHT TO CELEBRATE BUT DO SO WITH A MAGNANIMOUS HEART. ENJOY THE HOUR BUT REMEMBER THAT A TERM OF GOVERNMENT IS FOR YEARS.
REMEMBER THAT THE NEXT ELECTION WILL JUDGE YOU ALSO.

TREAT THOSE WHO YOU HAVE VANQUISHED WITH THE RESPECT AND HUMILITY THAT YOU WOULD EXPECT IN YOUR OWN HOUR OF DEFEAT.


I KNOW THAT ALL ZAMBIANS WILL EXPECT SUCH BEHAVIOUR AND I HOPE IT WILL BE DELIVERED. SPEAKING FOR MYSELF AND MY PARTY, WE WILL ACCEPT THE RESULTS. WE ARE A
DEMOCRATIC PARTY AND WE KNOW NO OTHER WAY.

IT IS NOT FOR US TO DENY THE ZAMBIAN PEOPLE. WE NEVER RIGGED, WE NEVER CHEATED, WE NEVER KNOWINGLY ABUSED STATE FUNDS. WE SIMPLY DID WHAT WE THOUGHT WAS BEST FOR ZAMBIA. I HOPE THE NEXT GOVERNMENT WILL ACT LIKEWISE IN YEARS TO COME.

ZAMBIA DESERVES A DECENT DEMOCRATIC PROCESS. INDEED, ZAMBIA MUST BUILD ON HER PAST VICTORIES. OUR INDEPENDENCE WAS HARD WON, OUR DEMOCRACY SECURED WITH BLOOD.
ZAMBIA MUST NOT GO BACKWARDS, WE MUST ALL FACE THE FUTURE AND GO FORWARD AS ONE NATION. NOT TO DO SO WOULD DISHONOUR OUR HISTORY.

TO MY PARTY, TO THE MMD CANDIDATES WHO DID NOT WIN, THE LESSON IS SIMPLE. NEXT TIME WE MUST TRY HARDER. WE FOUGHT A GOOD CAMPAIGN. IT WAS DISCIPLINED. I STILL BELIEVE WE HAD A GOOD MESSAGE AND WE REACHED EVERY PART OF THE COUNTRY. WE TRAVELLED TO ALL NINE PROVINCES AND WE SPOKE TO ALL ZAMBIANS. TO THOSE WHO WORKED EVERY HOUR OF THE DAY, I SAY ‘THANK YOU’.

YOU HAVE DONE YOUR BEST. BUT, SADLY, SOMETIMES OUR BEST IS NOT GOOD ENOUGH.
DO NOT BE DISHEARTENED. THE MMD WILL BE BACK. WE MUST ALL FACE THE REALITY THAT SOMETIMES IT IS TIME FOR CHANGE. SINCE 1991, THE MMD HAS BEEN IN POWER. I BELIEVE WE HAVE DONE A GOOD JOB ON BEHALF OF ALL ZAMBIANS.

FREDERICK CHILUBA LED US TO A GENUINE MULTI-PARTY STATE AND INTRODUCED THE PRIVATE SECTOR TO OUR KEY INDUSTRIES. ZAMBIA WAS LIBERATED BY AN MMD IDEAL BUT MAYBE WE BECAME COMPLACENT WITH OUR IDEALS. MAYBE WE DID NOT LISTEN, MAYBE WE DID NOT HEAR.

DID WE BECOME GREY AND LACKING IN IDEAS? DID WE
LOSE MOMENTUM? OUR DUTY NOW IS TO GO AWAY AND REFLECT ON ANY MISTAKES WE MAY HAVE MADE AND LEARN FROM THEM. IF WE DO NOT, WE DO NOT DESERVE TO CONTEST POWER AGAIN.

THE ZAMBIA WE KNOW TODAY WAS BUILT BY AN MMD GOVERNMENT. WE KNOW OUR PLACE IN HISTORY AND WE KNOW THAT WE CAN COME BACK TO LEAD AGAIN IN THE FUTURE. A NEW LEADERSHIP WILL BE CHOSEN, AND THAT LEADERSHIP WILL BE FROM THE YOUNGER GENERATION.

MY GENERATION… THE GENERATION OF THE INDEPENDENCE STRUGGLE– MUST NOW GIVE WAY TO NEW IDEAS; IDEAS FOR THE 21ST CENTURY. FROM THIS DEFEAT, A NEW, YOUNGER MMD WILL BE RE-BORN. IF I CAN SERVE THAT RE-BUILDING, THEN I WILL.

I MUST THANK MY CABINET FOR DELIVERING ON OUR PROMISES. WE DID A LOT OF GOOD FOR ZAMBIA. MANY OF OUR PROJECTS WILL BLOSSOM INTO BRIGHT FLOWERS. SOME OF YOU WILL BE BACK TO SERVE ZAMBIA AGAIN – I KNOW YOU WILL DO YOUR BEST FOR YOUR PARTY AND FOR YOUR COUNTRY.

TO THE CIVIL SERVANTS AND GOVERNMENT OFFICIALS, IT HAS BEEN A PRIVILEGE TO SERVE WITH YOU. WE HAVE WORKED MANY LONG HOURS TOGETHER. WE DID IT NOT FOR OURSELVES BUT FOR ZAMBIA. SERVE YOUR NEXT MASTERS AS YOU DID ME, AND ZAMBIA WILL BE IN GOOD HANDS.
I MUST THANK MY FAMILY AND MY WIFE.
THEY HAVE STOOD BY ME AND I CANNOT ASK FOR MORE LOYALTY THAN THAT WHICH THEY HAVE DISPLAYED. I LOVE YOU ALL DEARLY AND I WILL ALWAYS BE IN YOUR DEBT.


BEING PRESIDENT IS HARD WORK, IT TAKES LONG HOURS OF WORK. AND BECAUSE OF IT, I HAVE NOT ALWAYS BEEN THERE FOR YOU. YET, STILL YOU WERE THERE FOR ME.

WORDS CANNOT EXPRESS THE DEPTH OF MY LOVE FOR YOU ALL. ALL I ASK IS THAT MY FAMILY CONTINUES TO SERVE ZAMBIA AS I HAVE SOUGHT TO DO. BUT MY GREATEST THANKS MUST GO TO THE ZAMBIAN PEOPLE. WE MAY BE A SMALL COUNTRY ON THE MIDDLE OF AFRICA BUT WE ARE A GREAT NATION. SERVING YOU HAS BEEN A PLEASURE AND AN HONOUR. I WISH I COULD HAVE DONE MORE, I WISH I HAD MORE TIME TO GIVE.

OUR POTENTIAL IS GREAT. OUR RESOURCES ARE IMPRESSIVE. I URGE YOU ALL NOW TO RALLY BEHIND YOUR NEW PRESIDENT. YES, WE MAY HAVE DIFFERENT IDEAS BUT WE BOTH WANT THE SAME THING – A BETTER ZAMBIA. NOW IS NOT THE TIME FOR VIOLENCE AND RETRIBUTION. NOW IS THE TIME TO UNITE AND BUILD TOMORROW’S ZAMBIA TOGETHER. ONLY BY WORKING TOGETHER CAN WE ACHIEVE A MORE PROSPEROUS ZAMBIA.

IN MY YEARS OF RETIREMENT, I HOPE TO WATCH ZAMBIA GROW. I GENUINELY WANT ZAMBIA TO FLOURISH. WE SHOULD ALL WANT ZAMBIA TO FLOURISH. SO, I CONGRATULATE MICHAEL SATA ON HIS VICTORY.

I HAVE NO ILL FEELING IN MY HEART, THERE IS NO MALICE IN MY WORDS. I WISH HIM WELL IN HIS YEARS AS PRESIDENT.I PRAY HIS POLICIES WILL BEAR FRUIT. BUT NOW IT IS TIME FOR ME TO STEP ASIDE. NOW IS THE TIME FOR A NEW LEADER. MY TIME IS DONE. IT IS TIME FOR ME TO SAY ‘GOOD BYE’. MAY GOD WATCH OVER THE ZAMBIAN PEOPLE AND MAY HE BLESS OUR BEAUTIFUL NATION.

I THANK YOU.

Source ni hizi hapa chini

Zambia: Presidident Rupiah Banda Bids Farewell to Zambians | LusakaTimes.com na Aljazeera

Chadema mmeanza lini Udugu na Chama cha Michael Satta? Tutasikia mengi mara Chadema ya Lyibia.......! Umeonesha umbumbu wa kutoijua Zambia! MMD yenyewe iliwahi kumuondoa Kenneth Kaunda! Wenzetu wamebadilisha vyama na hiki ni chama cha tatu! Zambia wamekataa kabisa dini kuingilia vyama vyao vya siasa! Hapa balaa mara kanisa lina mkono wake kwa Chadema Kadinal Pengo anakua mjumbe wa Kamati kuu wa Chadema kwa kificho!mara Bakwata nayo inamaslahi na CCM! Dini ziache vyama vya siasa vifanye kazi zake!
 
Its not really a priority for him ....!!! He should start adressing other issues hii timua timua will please some but its not the root cause ....

Upinzani unapoingia kuna a lot of 'cheap' and 'serious' decisions to be made, its time to tread carefully one wrong move will earn him negative reviews
 
Back
Top Bottom