CHADEMA ya washika wafuasi wa CCM wakiendelea na Uandikishaji Ubungo

Jambo kama hili lingetokea Tarime ndio wangejua kachumbari nayo ni mboga.
 
CCM walikuwa wakifanya hujuma gani Kilewo? lete habari zaidi
TENDWA: asema malalamiko ya vyama vya siasa atayatolea majibu baada ya kikao cha bajeti kumalizika july 16 asema ya kuwa anaushahidi wa kweli kuhusu malalamiko ya baadhi ya wabunge wanavyo fanya rafu kwenye majimbo so atawaengua mapema na kuviarifu vyama vyao visiwateue
 
.
Magezi, kwa vile mimini mfuatiliaji, naelewa kila game la wizi wa kura, na aliyetangaza ushindi wa Chadema kule Busanda na Biharamulo humu JF ni mimi na kilichotokea sote tunakijua.

Kwa vile uchaguzi unaandaliwa na NEC, hivyo kuripoti facts ni muhimu hata kama hiyo NEC inafanya kazi on behalf of CCM. Sio kwamba sielewi kuwa the political playing field is not level, bali habari za kuhamanika kisiasa zinaweza kuhamasisha vurugu, kumbe hakuna kitu, kama siku ile Lipumba alipovamia bohari kuu kuzuia uteketezaji wa vitambulisho vya kupigia kura akijiaminisha vilitayarishiwa mamluki wa CCM, watu wenye hasira wangeweza vamia enea husika na kusababisha maafa.
Mwandishi asiyeyumba
 
ni baadhi ya watu wanao sadikika kuwa ni wafuasi wa ccm wamekutwa wakiendelea kuandikisha watu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mitaa ya mbezi hapa kwenye jimbo la ubungo


Sasa tatizo liko wapi? Kwani hao watu wanalazimishwa?
 
Asante Kilewo, la muhimu report facts, usiconclude ni CCM unless wamekutwa ofisi ya CCM. Kunapotokea uhalifu, wahalifu wanakuwa ni wahalifu tuu regardles ni wafuasi wa chama gani, ikitokea mwizi wa kuku ni mwanachama wa Chadema, hatutaripoti Chadema wezi wa kuku, tutaripoti kuhusu mwizi wa kuku ambaye ni mshabiki wa Chadema, hapa nazungumzia facts, itikadi za chama weke pembeni, hii issue ni very serious!.
fact V\S uvumi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom